Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mitano tena
 
Mo Salah aliigharimu Liverpool pauni milioni 34.3 tu alipojiunga akitokea AS Roma mwaka wa 2017.

Tangu wakati huo amefunga na kuhusika kwenye magoli 234 katika mechi 270 kwenye Premier League.

Ataingia kwenye historia kama mmoja wa wababe wa muda wote wa Premier League, bila shaka kuhusu hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…