Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We need a natural DM
Mkuu The MoNA tunaomba gemu analysis
Like???We need a natural DM
Zubimendi/Hobjerg/ au yule Mbrazil wa AtalantaLike???
A bit lucky na hawa makeshift so far but ukweliii ni kwamba we need a real DM...We need a natural DM
Hao wawili wa mwisho ni very ordinaryZubimendi/Hobjerg/ au yule Mbrazil wa Atalanta
Mbona hapewi nafasi sasa ??Hao wawili wa mwisho ni very ordinary
We are underestimating our Japanese guy
Mbona hapewi nafasi sasa ??
Mkuu ukipata muda kucheki mechi za Atlanta utaelewa huyu dogo Ederson sio ordinary as that....Hao wawili wa mwisho ni very ordinary
We are underestimating our Japanese guy
Wataru Endo's stance on quitting Liverpool as midfielder struggles under Arne Slot.Kutopewa nafasi kwa mchezaji kuna mambo mawili:-
1. Ama kocha havutiwi na uchezaji wako
Au
2. Haujafikia level anazotaka kocha.
Remember last season ilimchukua karibu miezi miwili kuaminiwa na Klopp hapo ni baada ya kuumia Macca, alivyopata nafasi alionesha uwezo wake.
Sababu zote hizo sio dhambi ni kawaida kwenye Mpira. Kutokukuelewa kocha haimaanisha hauna uwezo huo, maana unaweza kuaminiwa ila pia uwezo ukawa mdogo.
Kwa case ya Endo ni mchezaji ambaye ana struggle kucheza na tight spaces, yes kwa sababu he is not a ball carrier mzuri, na kwa makocha wanaopenda Possession football wanapenda hata uwe DMF atleast uwe na mbinu mguuni, umepokea umetembea nao sekunde mbili, lakini mtazame Endo mara chache sana atafanya hivyo.
Unaweza kusema Endo is not enough kwenye Slot system (kwa mtazamo wa Slot na jopo lake) ni kama vile tulivyoona Gravern ni failure kwenye mfumo wa Klopp. Wachezaji wenye kuishi kwenye mfumo wowote ni wachache sana hasa kwenye MF, ndio maana kiswahili tunawaita viungo, kazi ya viungo kwenye mapishi tunajua ni nini.
Wakati anasajiliwa, watu waliuliza kama ni mzuri wa kiwango hicho, alikuwa wapi asizungumzwe na media na vilabu vikubwa vimuwanie mpaka aonekane na timu kubwa na kocha mkubwa kama Klopp at the age of 30? Na alikuwa hapo to Bundesliga ya Ujerumani akitokea Belgium.
Tuseme Slot anaogopa kujaribu combo nyingine ?? Loads of game to come may be he will shine again like City’s match at Anfield.
We will know why Slot hampi some mins that guy…!!! I myself wish to see him on the pitch again atleast 30-60 mins each match, Slot asisubiri injuries and suspension zimnyumbue, zinaweza kulipa na zisilipe.
Ynwa’
Wataru Endo's stance on quitting Liverpool as midfielder struggles under Arne Slot.
Wataru Endo has struggled for game time under Arne Slot in his second season at Liverpool.
Wataru Endo wants to stay and fight for his place at Liverpool although he has only played six minutes of Premier League football so far this season.
The defensive midfielder, who captains Japan, proved a major hit under Jurgen Klopp during his debut campaign at Anfield following a surprise £16.2million switch from Stuttgart last August.
But he isn't as suited to new boss Arne Slot's style and has only started one of Liverpool's 10 matches inacrossall competitions so far this season.
Yet the 31-year-old intends to stay and fight for his place on Merseyside. He has no plans to pursue a January exit.
Italian giants Inter Milan have been credited with an interest in the combative midfielder, who is confident his chance to break into Slot's starting XI will come in due course.
( He is one of the main back-up options to first-choice pairing Ryan Gravenberch and Alexis Mac Allister. )
Marseille also saw an £11.8m bid rejected for Endo in July before tying up a deal for Tottenham's Pierre-Emile Hojbjerg.
Slot recently declared Endo's all-action, five-minute cameo in the recent 1-0 win at Crystal Palace "says a lot about him as a person".