Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Timu ya kiingereza hii😂😂
Liverpool ndio jukwaa la kishua
Lenye waswahili wachache akina sisi
Thread inaenda kishuashua tu

Imagine Bobby akija hapa kuteremsha kile kizungu chake... honestly,naenjoy sana kusoma kiingereza Cha Bobby.


Kule Kenge fc wamejaa waswahili wanachambana hatari utadhani waimba singeli
 
Mambo vip Kopps?
Kutoka pwani ya africa mashariki Naitakia LIVERPOOL ushindi mwema dhidi ya the Gunners.
Nawapata vizuri hapo studio za Liverpool halisi.
King Ngwaba
Captain Marvelous (jack sparrow)
mona
Saint Anne
@ladder
Vincenzo Jr
Manyanza
🤣🤣🤣🤣You have made my day Comrade....
Tetesi ni kwamba Jack Sparrow the Captain hataonekana tena kwenye franchise ya pirates of the carrbbean duh bila huyu mwamba mbona zitopowa sanaa...
In the meantime Gunners wamepata busti kutoka kwa Neville eti wanaouwezo hata bila Saliba kutupiga haha Neville bhana katushindwa yeye anaanza kuomba msaada kwingine...

Well hatujapoteza ugenini chini ya SLOT tupo tayari.

Ni popcorn tu hapa.... Liverpool vs Arsenal haijawai kuboa...

YNWA
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Am humbled my Super Miss Liverpool, the one n only one.

YNWA
 
Imekuwaje Wakuu ? MosDef Captain Marvelous na The MoNA , LFC wameamua kum hire huyu jamaa ?
View attachment 3136140
Hii kazi ilitangazwa kwenye website ya klabu na huyu Robin aliomba kazi hii na ameipata.
Robin alidumu Manchester City kwa miaka 8 na tunajua Pep hua ni very demanding guy na Robin kudumu pale means alikua na msaada kwa timu pia amefanya kazi Manchester United kwa miaka 3 hivyo utaona ni elite catch na pongezi kwa recruitment team kumpata.... hii itamsaidia sana Slot. Robin atakua na majukumu kama ku deal na majeruhi, rehab kuwasaidia wachezaji walioumia ku manage maumivi na kuwarejesha mazoezini mdogo mdogo mpaka warudi uwanjani mgonjwa wake namba 1 ni Elliott, Allison, Jota nk nk


YNWA
 
😍😍😍😍😍Thanks sunshine... Nipo aisee majukumu yanakua mengi...
Upo kwenye mikono salama ya @TheMoNA 🤣🤣🤣

YNWA
Unajua Bobby bila wewe humu
Hata kuingia naona uvivu ati😍
Njoo bhana,usipoteee.

Leo nimevaa hadi jezi la liver tayari Kwa kwenda kibanda umiza
Yaani lazima tushinde.
 
Hiyo movie ishapoteza ladha ,, jack sparrow ndio ananoga mule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…