Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
🔥 🔥 Scored a beauty.
YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi Ulikuwa unasikiliza hii mechiView attachment 3148377
Kucheza hovyo vile na tukatoka na pointi 3 muhimu sana waaaaa it's doesn't get better than this.
YNWA
Haha jana hatukua pazuri sana kumchezo in fact msimu huu hatujawa kabisa to our supa best...Nahisi Ulikuwa unasikiliza hii mechi
Liverpool Halisi muliondoka na Henderson mfateni huko alipo [emoji1]
KDB earns 400k and he deserve that much...
Point wise and merchandise wise Salah is worth more than 500k, zama zimebadilika. Kwanza kule kujilinda kwake tu asiumie ni kigezo tosha kwamba miaka miwili ijayo atakua bado ana performance bora.
Apewe tu 500k yake.
Na wakati huo huo waongeze kwa Diaz angalau 200k na dogo Trent apewe 350k[emoji28][emoji28][emoji848][emoji848]...
VVD apewe 300k.
FSG wako very sensitive kwenye wages na too bad Edwards sio muumini wa kuwapa mikataba wachezaji wa 30+ nyongeza but when they play as they do why not guys wapewe tu.
YNWA
View attachment 3148377
Kucheza hovyo vile na tukatoka na pointi 3 muhimu sana waaaaa it's doesn't get better than this.
YNWA
Kwani hatuwezi kabidhiwa kombe huku ligi ikiendelea..?
When its comes to wages hawa FSG are brutal man yaani you remember mu sanction increment kwa Gini na Mane na wakaona bora kuachana nao....Do not forget Mr Ibou, earns 55k give him 200k
Give Kelleher 80k, loan again Mamardashavili next season,
Sign DM in January.
Dhambi FSG under Edward & Hughes hawatasamehewa na Scouser ni kuwaachia Salah, Vvd & Trent for free, wakati mambo yapo ndani ya uwezo wao.
Sasa comments ni Give them Contract.
Ynwa’
Nikatazama mechi hua siangalii ushindi tu comrade hua naangalia individual mistakes that can cost us vs a more lethal brutal opponent na jana was that day...Sidhani kama tulicheza hovyo aisee, moja ya mechi tulicheza vizuri kiufundi bas na hii itakuwepo under Slot
Tetesi ni kwamba Slot has a few minutes with his back up team for Nunez in every training session highlighting his off the ball efforts, movement without the ball especially offside trick etc... He is getting proper attention and that all good man, he will come good.There is scoring beast in him, matter of time.
He is that guy i wish him good moment on his shoulders.
He has all attributes to be a scorer.
Best of luck to him.
Ynwa’