makina David Gill (Manure cunts) si yamejazana mule!!!
RB alikuwa anayatoleaga sana uvivu!!
FA is as corrupt as chama chetu cha mapinduzi
there are too many incidences za kuiboa liverpool
hata officiating this year imekua mbaya, we are bullied tena with true fouls kabisa but refs get away with murder
khe khe khe khe khe wewe bila kuitaja hii timu siku yako haikamiliki......na bado mtakoma mwaka huu, i cant believe mnalaumu waamuzi kwa uozo wenu! mbona sisi tunakubali ni wachovu tangu mwaka juzi??!! mmeuza Ferarri mkanunua Fiat mbili mnategemea perfomance ya ferrari....ridiculous!
kweli huu mwaka mbaya......next weekend karibuni OT
ukinifunga week ijayo, nahamia JKT orijoro....
Ferguson alimanage kuwasumbua kina Daglish, Hodgon na BR kwenye msimu wake wa kwanza!!!! coz kwa RB alikuwa anastruggle sana, nadhan unazikumbuka zile moments ndugu!!!
Sasa sahiv ile Era ya Daglish na Hodgson ndo inahamia kwenu...Nme-m-bamiza Moyes nje ndani, na nakuja ku-m-bamiza huyo Van Gaal hapo hapo sebulen kwenu!!
Haijalishi nisipoingia Top4 au vipi, lakin The Manc hawanifungi msimu huu!!!!
Nakubaliana na wewe kuwa LFC ni mbovu, lakin Uamuzi wa marefa dhidi ya LFC umekuwa shocking sana...refer maamuzi ya kijinga aliyokuwa anayafanya Lee mason kwenye game ya Leceister city...japokuwa tulishinda!!!
nadhan ni game 1 tu...
nadhan mpka ijumaa amepewa muda wa kuappeal na kupeleka maelezo zaidi..
the club is backing him though, ingawa previous comments zinasema anaweza kuwa fined tu, lakin zingine zinasema anaweza kuwa fined na kuserve 1 match ban...game ya Sunderland anaikosa kwa sababu ya groin injury...asa yawezekana mkosi ukaangukia dhid ya Arsenal au Manure!!!!...
kama kuna shabiki wa LFC anafikiria kumaliza Top4 msimu huu, Anajidanganya sana!
good,you submitted truth,liverpool hii si kawaida