Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Szobo will thrive pia kwakuwa we have a congestion of games, so squad rotation itampa kila mtu nafasi.

I like Szobo's work rate hasa akiwa na ile free role he's everywhere. Unaweza usimwene kwenye G&A contribution lakini anatusaidia sana kwenye transitions.
 
Sure, Szobo and Elliot will thrive. Slot is a mastermind. Atatuvusha
 
Yeah last season and some we were robbed in the daylight. Kuna decision zilikuwa against us mpaka unasema WTF?

Ila with this Slotball watuhujumu tu ila in the end we'll murder them with our performances.
 
Guys what do you think about Taylor Morton. He's around the first time kila mda. A very humble personality.

Read multiple times kuwa ni one of the best press resistant midfielders (ina maana akiwa na mpira ni ngumu kumnyang'anya).

We also have Jones who has those qualities but Morton hapati sana nafasi, mnafikiri uamuzi wa kutokumtoa kwa mkopo kwenda Leverkusen ni kwamba Slot ana plan nae kwenye huu msimu?

Wote tuliona performance yake kwenye game ya Brighton (league cup). He's some baller.
 

Thats how it is. Hata Kelleher anajua a full fit AB1 hawezi kupata game time, he admitted sometimes he knows that well and no problem with that. Kwa performance anayoionesha kuondoka as a free agent na kupoteza pesa kwa sasa Kelleher he is worth 25-35k, akishinda major trophies this season value yake itazidi kuwa high.

Good thing kwa LFC ni kupata quality ya GK’s kwa sasa. Ur 1st Gk is injured halfu mnacheza as if nothing had happened. Asiyeifuatilia Liverpool na EPL ukimwambia Kelleher ni 2nd Gk hatakuamini.

Yule Marmadashavil ni GK mzuri sana sana, weakness yake kubwa ni footwork ila 1v1 anayokupa nearly same to AB1.

Lets hope for the best brother.

Remember lawama waliopewa Hughes kumuuza Carvalho na Sepp Van der berg, but watch them now,?? Do they have those classy we were thought they have?? Though its to early to judge. But currently they are have done good decision, it was the right time.

Ynwa’
 

Sure. I agree with you.

Player like Doku, Nunes i don’t think they have that quality many of us we thought they have.

These are the kind of players need to be mixed with World Class players to boost their quality but rely on them only its a bit of challange. Sometimes Class decide your triumph not only tactics. Its our time only if FSG will back up Slot effectively, efficiently at the right time.


Ynwa’
 

Work rate agree with you 100%,

but as a 10, you need good numbers too (G/A) see KDB, good work rate plus numbers (G/A).

Kuna siku washambuliaji unaowategemea wataamka vibaya na ugumu wa kocha, hapo utahitaji your MF’s wafanye mambo kama habit haijakolea ya kufunga inakuwa ngumu, i need more from Szobo, he has to offer more than that, why i need that? B’se i know he can do that atleast 15-20 (G/A) per season.

Ywna’
 
Yeah last season and some we were robbed in the daylight. Kuna decision zilikuwa against us mpaka unasema WTF?

Ila with this Slotball watuhujumu tu ila in the end we'll murder them with our performances.

Mentality monster [emoji1377][emoji1377][emoji1377]

Watuibie ile we will find ways to overcome it.

Ynwa’
 
Dah,
I like the way you guys analyse Liverpool issues, I'm so envious.
 
Kelleher should have departed long time ago ishu anakua over priced sokoni by FSG... Probably sasa wamempata Marma watashusha bei ya Kelleher.... Credit to Brazil goalkeeping coach Claudio Taffarel who was recommended by Alison amefanya kazi nzuriiiiii sana na team yake pale ya makocha wa makipa.

Kelleher has upped his game to the next level kiasi shabiki asiemjua Allison atadhani bwana mdogo ndio huyu hapa anasaidia kukusanya pointi..

YNWA
 
Liverpool’s record with David Coote refereeing or on VAR for our matches:

Games - 20
Wins - 11
Draws - 4
Losses - 5

55% Win record since he started officiating us from 2020. These horrific decisions were also down to him
Aiseee hizi taarifa balaa.

YNWA
 
If KDB an Rodri will continue to be unfit. Nafikiti Man City watakuwa exposed sana this seaason. It's our time tumchape hata goals 7
 

His contract will end next summer.
Sidhan kama ata renew tena ili waendelee kumfunga kengele. Value aliyonayo kwa sasa ni kubwa sana & probably akishinda major trophies (UCL & EPL) value itakuwa kubwa, as a free agent itakuwa mbaya kwa LFC

Ynwa’
 
If KDB an Rodri will continue to be unfit. Nafikiti Man City watakuwa exposed sana this seaason. It's our time tumchape hata goals 7

Rodri msimu uliishia ile mechi vs Arsenal, labda KDB. But still we have chance to beat them this season.

But focus yangu ipo kwa Madrid tuvunje unyonge, we need to do it this season, lets Slot prepare that team like a final match.

My desire is to beat Madrid over City, City nimeshuhudia tukimponda ila kwa Madrid last time 2009”,.

Ynwa’
 
Thanks brother.

Tunatafuta tafuta huku, siku tutakumbukana kwenye ufalme, hahaha!

God is good.
As i mentioned in the original post just how good is Nunez in sniffing opportunities man this kid scores bangers not tap ins haha...
Vs Aston Villa we counter attack Salah is given a professional last line foul and boy Nunez is alert his instinct sounds him to continue his run gets the ball round the best keeper in the world and scores a banger off balance but accurate haha that Nunez i know....
He is sniper in those situations... He ain't far to the level Slot want and he is patient enough that why the confidence is back now...you don't score bangers if you ain't uaself....
He could have scored 2 but who cares when the 3 point is ours..

YNWA
 

What i know.

Nunez can’t go entirely on his mins of play unnoticed NEVER, hata kama itakuwa kwenye worse scenario you will see him,

How i wish the scoring beast in him to be displayed out.

But jamaa ameongezeka utulivu compare to last two seasons. Without pressure Nunez is the beast. Best of luck to El Panther (Pantera), Mr. Chaos.

Ynwa’
 
Kweli kabisa with Nunez he won't just let poor return of goals pull him back man he raises to every occasion, even when he is being toasted online by key board warriors he won't be distracted and boy Anfied loves him that why he always face up maana anajua waajiri wake mashabiki wana imani nae.. Wanajua alitokea ligi ambayo ipo a bit far in terms of quality compared to EPL na wanaelewa time do solve its all so why not Nunez to thrive....

YNWA
 
Its a long season mate lots of games and most teams crumble around March to May when injuries, fatigue and loss of form catches up and by then hakuna margin for error to win games... Pale ndio hua unaona Kipara anashinda 10 games in a row na vuup huyooo kunyakua ubingwa, so anachofanya Slot ana anticipate the future na ili mfumo wake uedelee kama ulivyo anahitaji kua wachezaji wanaofanya mazoezi na team A pamoja ili kufahamiana weakness na strength marks kusudi kuwe na continuation ikitokea tumejikuta kama last few seasons wakati tunakumbizana na Kipara hivyo Morton is in the near future plans, his time will come, lets Slot continue assessing him properly kumuadaa vyema endapo atahitajika kama serial starter huko mbeleni.
So far Slot is navigating really well kwenye majeruhi alionao kiasi rarely tutasema angekuwepo fulani tungeshnda nk nk

YNWA
 
You got to imagine ni games ngapi tumeuliwa na hawa refs, simply because they hated Klopp kwasababu alikuwa anawaambia ukweli.

Tierney & Hooper wanahitaji kuwa investigated pia.
Tierney who mmh itakua ni sworn enemy wa Liverpool na Klopp naamini wangefanya uchunguzi hawatakosa jambo...
Hili bomb limekuja wakati sahihi ili wawe sasa under microscope lens wanavyo ref mechi zetu, haijalishi kama watamkuta kama ana makosa but the impact ni kwamba wataanza ku behave properly..

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…