Umejifungua salama? Mona anasema katoto ka 2000 ulikuwa maternity leave ๐Hello Kops
Niliwamiss
Naombeni ratiba za mechi
Mimi namuuliziaWana kop.....naomba kuuliza kuhusu mwenzetu mmoja tuliekuwa nae hapa jukwaani na alikuwa mchangiaji mzuuri sana ila ni muda Sasa sijamsoma...akiitwa mmbabe
Nimemleta mdogo wake MoNA ๐Umejifungua salama? Mona anasema katoto la 2000 ulikuwa maternity leave ๐
AsanteSaa 18:45 jioni
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ Hapo kati huyo Kelleher wako kachapwa 5 ujue timu ya Taifa.Wajina wangu Arne
Ameona Kelleher anatutisha๐ฅ๐ฅ๐ฅ
YNWA
We have a balanced team now regardless of the opponent since Slot is playing to the players strength.. We all know Trent is an overlapping monster lakini akiwa under pressure when defending he fails badly, Slot identified that mapema akamuweka sawa na sasa he becoming a complete player, that the way to develop players identify thier weakness n strength work it's out perfectly...
Konate same fate, his bones are weak hivyo under intense pressure he wont play oftenl
YNWA
Umejifungua salama? Mona anasema katoto ka 2000 ulikuwa maternity leave [emoji16]
Nimemleta mdogo wake MoNA [emoji23]
Alikuwa anataka mtoto mwenzie wa kucheza naye
Kwenye Epl cup shida iko palepale.View attachment 3157612
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapo kati huyo Kelleher wako kachapwa 5 ujue timu ya Taifa.
YNWA
Agreed. Heading for a really tough games ahead so they say... Slot taking its easy along th way...Within a worse there is worth.
Ynwa.
Mikwala mingi mpaka tunashangaa epl kweli ya kuwa tisha watu ๐.๐ดโจ Rรบben Amorim: โI believe I am the RIGHT guy at the RIGHT time. I truly believe Iโm the right guyโ.
Huyu jamaa bhana ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kumbe ni bora hatukumchukua huyu, sipendagi kocha wa mikwala mimi.Mikwala mingi mpaka tunashangaa epl kweli ya kuwa tisha watu ๐.