zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,075
- 9,263
Madrid ni watawala wa soka la Ulaya. Na wawekezaji/wamiliki wao sio wabahili kama wa Liverpool,Hivi nikwanini wanaimataa Liverpool nakwenda Madrid?
Ukienda Madrid una uhakika wa makombe kabla hujastaaf soka, ukienda Liverpool hujui team itakuwa top 4 au lah kwa kila msimu. Ingekuwa wewe ungechagua wapi? Sisi tuendelee kushindania wachezaji na akina Aston villa, Westham na Dortmund 😄