Untill it’s mathematically secured.
How mentally resilience we will be?
It started from the coach. Tactics almost applied baada ya kutimizi majukumu mama kwanza. Kimbia kuliko mpinzani wako shinda mipira mingi ya juu (aerial duels) ground duels, 2nd balls kusiwe na abiria kati ya wachezaji wa ndani (10 players) followed by tactics, motivational words and in the end individual brilliance, and the rest live to God.
Hiki ndicho kilitokea jana,. Pep tried kuanza build up na watu wengi nyuma 3-2, ili kufanya short passes nyingi na kufanya wachezaji wakae karibu karibu, alijua hana quality bodies katikati kushindana na MF’s ya sasa hivi ya LFC (Gravern & Macca plus Jones/Szobo) alianza kwa tahadhari kwanza ya kuishinda press ya LFC ikiongozwa na Diaz, with both narrow and wide pressing shape. Hii kwake ilishindikana kwa sababu hakuwa na quality hiyo compare to LFC.
LFC beat their build up na kuwatawala kwe idara njia nyingi. It was a lovely to see Slot question Pep and Pep failed to answer and question Slot (exclude 2nd half from 45 min to 70mns hivi). LFC walipita njia zote bila vikwazo vigumu, pemebeni walipita, ndani walipita hata kwa juu walipita.
LFC walifanya interchanges of position kiasi cha kuruhusu muda wote wawe kwenye shapes ile ile throughout the match. Trent akiingia kwenye MF, Szobo anarudi as RB, Robbo akiwa mbele Macca anasogea RB, Diaz ana dropp deep, Szobo na cover alipoacha wazi, na cycle ikaenda hivyo. Nini mana yake muda wote mnapaswa kubaki katika shapes zenu.
Gravern master of half turns, jamaa ni ngumu sana kukabiliana nae, turn yake anaweza vunja press ya opponents nafikiri we need DM in january then Gravern acheze 8, na Macca as 10. Kama ulimuona Mousaa Dembele enzi zake za Spurs utaelewa, hawa watu wenye uwezo wa hizi half turns kuwakabili aisee.
Goal kwanza, utaona mibadilishano ya nafasi, Tukianzia kwa Gomez alimpa pasi Szobo akiwa kwenye RB position, Szobo akairudisha back to Gomez, Gomze akampa Trent, where was Trent at that moment, alitengeneza back three wakati Robbo akiwa juu kidogo, akabaki Gomez, Vvd and Trent. Boom Mr passer scoucer, trent long balls kwa Salah, why kwa Salah and not short pass or other side?? Trent ni moja ya wachezaji wanye uelewa wa Spaces, aliona ile Spaces iliyotengeneza 1v1 Akanji na Salah, huuuuuuge Space kwa Salah lazima akuadhibu, Boom catch me if you can, ikiapigwa Crazy pass to Cody, and Cody Scored.
Trent pass, look at that Space, mpira ulipigwa nyuma ya Akanji. Salah kwenye eneo hilo he is something else.
World class like Salah hii ni Space kubwa sana kukuadhibu ana 90%, kuleta hatari yoyote langoni hapo. Huge huge Spaces, ni ngumu kuona Spaces kama hizi chini ya Pep. Watch Gakpo’s position yupo kama 25m away.
Ridiculous pass from Salah, what a pass, outstanding pass indeed. Hii ndio inafanya ushindi unoge zaidi kwa vitu kama hivi.
Chance created and assist ile ni vision ya hali ya juu ni kwa wajuzi tu. Domination ikaendelea Pep hakuona cha kufanya, total dominance at First Half it could be 3-4 nil if we were clinical enough. Kipindi anachokipitia Pep wengine alishakipitia mara nyingi sana. Klopp alipitia vipindi vigumu 2020, akaja kupitia tena 2022/2023, why? b’se of financial muscles ya LFC compare to that of City, kwanza ile Sheria ipite tu haraka🫠.
End of 1st half.
Pep’s plan 1st half ilifeli big time kwa ubora wa LFC kwenye pressing even with passing game ya LFC ilikuwa outstanding.
2nd half Pep akaamua kufunguka na kupunguza idada ya watu nyuma, akaamua sasa ile tunasema “liwalo na liwe” hey Slot nakuja with full gear. Akawaingiza two wingers Doku na Savior maana yake kupenya kwa Pasi ilikuwa ngumu ikabidi sasa awatanue LFC kwa kuwaingiza mawinga wawili.
Ile ilibidi timu irudi nyuma after pep tactics changed City is just City, hata Slot anakuambia nilitamani tucheze kama 1st half lakini City wana quality nzuri, huwezi kuwa dominate through game controlling only through out 90 mins.
They dominated from 45 mins upto early 70mins hivi, still LFC has mental resilience kukabiliana na City, it could go otherwise kama Doku angekua na football brain ku match Pep’s quality, kuna occasion kama mbili Doku alikuwa anaweza kuwarudisha City mchezoni.
Kuna moja Doku had dribbled past Trent akaingia kwenye box, angekuwa na maamuzi ya haraka angeleta mdhara akadelay some milisec kufanya maamuzi, LFC wakarudi kwenye shape yao defensively akakosa option akarudi alipotoka.
Slot aliona hapana Trent ameshaanzwa kupikwa and i want you coming games njoo nje, Quansah nenda kakabiliane na Doku, and i think Quansah did it well, why? Quansah he is a natural defender unlike Trent. Hii ni mechi Bradley angepata game time nzuri pia.
Kuna long ball ilipigwa thanks their was a warrior kwenye hiyo occassion otherwise it could be 1-1,
This was that moment, just waoh, Vvd is just Vvd, clean and crucial clearance.
Do you know Vvd has high xG than Haaland?? Its ridiculous stats. Yaani beki na nafasi kubwa sana ya kufunga kuliko ST, he is a CB not even a LB/RB, hii inaitwa total dominance.
Baada ya kutawala kwa dakika hizo Slot decide to sub off Gakpo & Nunez get his mins, kwa ajili ya kufanya pressung. Pressing unahitaji mapafu ya mbwa kichaa kama unataka high pressing.
Slot saw opportunity baada ya kuona Pep he is not use many bodies at the back, alihatija mtu wa kuweka pressere kwenye defence ya City, Nunez did it positively.
He is a good presser, penalty opportunity come after his pressing, Diaz took it and cause a penalty.
Heheh City yesterday were totally dominated (overall) Yaani how comes hii movement inakuja kuzalisha goli wakati wana clear 1-3 safe option(s).
See Ruben Dias, alikuwa na option ya kupiga kwa Ortega au chini au autoe, ila ikiwa mbaya inakuwa mbaya kwenye maeneo yote.
Got our PK, Salah put back of the net it was 2-0 up. Hapo unatakiwa ku slower your game and keep controlling your match with good passes.
Szobozlai kwenye outstanding performance, top top quality yesterday, ilikuwa ngumu kusema unamtoa unlike other matches. From 75mins to the End, mpira ukarudi kwa LFC with good passing passes especially after second goal it was 80%.
Kama City wangetukuta off form wangetuweka zaidi ya tulizowapa jana, we have witnessed these moments, several times. City individual errors ilitosha kuwapa 3 hivi achilia mbali tactical battle lost.
Vvd anavyokabiliana na Halaand, kama rahisi hivi, kama inawezekana kiwepesi, quality ya Vvd kwenye 1v1 next level hii. Ila Halaand hata City akiwa kwenye peak alikuwa pocketed most of the time at Anfield kazi ya Vvd & Matip/Konate/Gomez hiyo.
Hajawahi kuwa ngumu hiyo. He is my MOTM aisee akiwa kwenye box yake analitawala, akiende kwenye opponent box bado aliweza kutawala. He is MOTM yesterday.
Kelleher agani no doubt he is the best 2nd GK ever.!!!
Gomez incredible performance. Huyu jamaa aisee anastahili credit sana. Anakaa bench for almost 3 months epl haanzi lakini ukimpa dakika anakupa quality with top top level performance.
He is so calm indeed, hana cha kusema no game time nataka kuondoka, he patiently wait for his chance to come. What a performance he had. Kudos to English man. Big Joe Gomez.
Slot gave Quansah some mins and rest Trent. Quansah played as RB and tried alot kukabiliana na Doku. Hiyo ni academic position yake (RB). Kuna loads of games sasa hivi we need all our key players. Bradley & Konate out for 5-6 weeks out, hiyo mpaka next year ndio wanarudi, Tsimi 2-3 weeks out. Our defence looks thin by now. We need to protect Trent, and Robbo at all cost.
Welcome back Elliot. Depth hiyo kwenye MF. We need Jota back too.
Its not over until it is mathematically secured.
Ukiwa Liverpool ni wakati wa kusheherekea ushindi kuliko kujipa matarajio ya ubingwa. We need mental resilience, occasion kama hizi hutokea and at the end mnapotea. Tumewahi kuwa quadruple contenders 2021/2022, and 2023/2024 ila mahesabu ya mwisho tunayo.
2021/2022 tuliishia kupata two cups FA & Carabao, and 2023/2024 tukaishia Carabao. Kipimo ni dec-feb tutavuka vipi??
It’s up to FSG, kumpa watu january, atleast one DM and LB, if we want major trophies.
Until march with the same gap points tutaanza kusema otherwise.
Know you can
Ynwa’