Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tunza comment yangu baada ya mechi uje ! Alafu sio kila mpenda michezo ni mdau wa betting mkuu,,,, !!!! Michezo tunaifatilia for funy, sio kustake kila saa roho mkononi !
Mkuu tuedelee kutunza comment ama ulipo mechi bado bado 🤣🤣

Huyu Slot wiki hii kawatadika ma heavy weight wawili Genius Pep na Nguli Anceloti. Ushauri, mech za Liverpool Jitahidi sana uwe na maneno ya akiba.

Cheers 🥂 🥂 🥂. Ni shangwe Anfied pamenoga.

YNWA
 
Still early though
Definitely ukweli ni kwamba habari za ubingwa picha kamili ni baada ya mzunguko wa kwanza na kuanzia Machi pale angalau dalili huonekana nani ana kifua cha kuhimili presha pale kileleni. Kwa msimu huu tupo tayari.
Jana Gomez kasimama vyema sana namba ya Konate .
Jota hata hatukumbuki hayupo. Tuombe hii hali iedelee hivi hivi na VVD, Gravenberch wabaki na uzima wao.

YNWA
 
Vs Liverpool

Erling Haaland failed to win a ground or aerial duel, completed just 7 passes and registered 1 shot on target against Liverpool.

Virgil van Dijk won 4 duels, registered 7 clearances, 2 blocked shots and made 3 interceptions ⚔
 
During the Klopp era

It was a development process, a very sensitive process that not everyone has the patience to live in football. Need the "balls" to accept results that might not the administration & supporters want.
Development Process that Mr. Jurgen Klopp choose instead of silverware. Mr Arne Slot inherited this long term process, JK left a gold mine so that LFC where it belongs on the perch.

YNWA.
 
IMG-20241202-WA0100.jpg
 
All that title chat should be around Arsenal, not Liverpool.

Liverpool are a team in TRANSITION. We just lost a legendary manager this summer. It's Arsenal who were called City's only challengers before the season began, by everyone. Liverpool were supposed to struggle for top 4 after Klopp's exit, and eventually fall apart just like Manchester United did after Alex Ferguson's departure. Relative to everyone's expectations before the season, Liverpool are doing alright. But the title talk is crazy, it is Arsenal who should be in pole position after City's debacle. This is Arsenal's title for the taking. And that's where the title conversation should be focused. Be consistent with your preseason analysis and keep Liverpool out of this title talk.

Liverpool is just focused on rebuilding, one game at a time.
 
Unataka kusema Watu walimkosoa Kellehar mwaka 2022 na 2023 unawakosoa kwa msimu wa 2024?

Halafu hujalitumia sahihi neno kuprove wrong kwasababu Kellehar alikuwa bado ni Amateur kwenye senior game hivyo kuprove mtu wrong kwasababu hakuna aliyesema Kellehar ni mbovu bali tumesema bado anapaswa kujifunza zaidi kwa Alison jambo ambalo mpaka sasa hakuna Kocha atakayemtanguliza Kellehar mbele ya Alison labda uwe Kocha ni wewe.

Subiri apone tu uone Alison atamueka nani golini.

Mpira si hisia! Ni kweli Kellehar ametusaidia sana na siku hadi siku anaonesha ukomavu lakini bado hajafika hata nusu ya anachoweza kuoffer Alison uwanjani kuanzia Kudaka mpaka Footwork.

Umehoji vyema sana mkuu. Sema wadada kwenye mpira mahaba huwa juu zaidi”,.
Mahali Kelleher anamuacha AB1 ni kwenye PK hapa yes tunaweza mpa all credit kelleher.

Ila AB1 aisee ni next level.
And good thing msimu huu GK under defence force yupo much protected na system pia.

Full fit AB1 n Kelleher 90% ya couches watampa AB1. Anyway hatupo kutafuta who is better than who but who can contribute better.

Know You Can.

Ynwa’
 
Back
Top Bottom