kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Kwanini uondoe matumaini!Usiweke matarajio makubwa sana
Ni Liverpool hii hii msimu jana tulicheza vizuri sana
Mwishoni tukapoteana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini uondoe matumaini!Usiweke matarajio makubwa sana
Ni Liverpool hii hii msimu jana tulicheza vizuri sana
Mwishoni tukapoteana
Mkuu tuedelee kutunza comment ama ulipo mechi bado bado 🤣🤣Tunza comment yangu baada ya mechi uje ! Alafu sio kila mpenda michezo ni mdau wa betting mkuu,,,, !!!! Michezo tunaifatilia for funy, sio kustake kila saa roho mkononi !
Definitely ukweli ni kwamba habari za ubingwa picha kamili ni baada ya mzunguko wa kwanza na kuanzia Machi pale angalau dalili huonekana nani ana kifua cha kuhimili presha pale kileleni. Kwa msimu huu tupo tayari.Still early though
Majeruhi tulionao kwenye beki yetu ni hali inakatisha tamaa sana. Endo inatakiwa aingizwe kwenye fullback role sasa
Unataka kusema Watu walimkosoa Kellehar mwaka 2022 na 2023 unawakosoa kwa msimu wa 2024?
Halafu hujalitumia sahihi neno kuprove wrong kwasababu Kellehar alikuwa bado ni Amateur kwenye senior game hivyo kuprove mtu wrong kwasababu hakuna aliyesema Kellehar ni mbovu bali tumesema bado anapaswa kujifunza zaidi kwa Alison jambo ambalo mpaka sasa hakuna Kocha atakayemtanguliza Kellehar mbele ya Alison labda uwe Kocha ni wewe.
Subiri apone tu uone Alison atamueka nani golini.
Mpira si hisia! Ni kweli Kellehar ametusaidia sana na siku hadi siku anaonesha ukomavu lakini bado hajafika hata nusu ya anachoweza kuoffer Alison uwanjani kuanzia Kudaka mpaka Footwork.