Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Can't say otherwise mate... Most pressing issue now should be we tie Mo for 2 years, we tie VVD for 2 years, we tie Trent for another 3 years then off we go to the market for purchases...
January hua a bit tricky especially for top performers kuwatoa klabuni but with the right offer hakuna mchezaji asiekua na bei...
Hili la Robbo ni kuna umuhimu wa kua na long term plan na hawa upande ule japo ukitazama kwa goals scored upande upo more productive kuliko RW kwa kua upande ule ndio wanacheza Gakpo na Luiz. Defense wise Jitihada zipo kwa kua yupo VVD upande ule...
Lets see January sio mbali.
My wish ni FSG wasome alama za nyakati wampe Mwalimu sapoti akiwa kwenye fomu hii. FSG walikosea kwa Klopp alivyochukua EPL na UCL pale kwa kweli ilitakiwa chap kuimarisha kikosi lakin wakamtosa aedelee na maajabu yake, i hope haitakua hivyo kwa Slot hizi dirisha 2 zijazo ni crucial sana

YNWA
 
Amefanya makubw a kajtia mechi kadhaa kujiamini kumezidi mpaka amefanya kosa la kitoto unaachaje kuhakiki mpira mpira kama upo nje au la ila amedhani ila yote kwa yote mpira ni mchezo wa makosa!
He is human. Prone to mistakes. Sio muumini sana wa sare lakin kwa ule mchamchaka wa jana Nakumbaliana is na matokeo.

YNWA
 
Ni kweli ila sare ile ina maumivu sana!
Sare zimeshatu cost sana miaka ya Klopp na kukosa ubingwa mara kadhaa hivyo hatuzihitaji kabisa hatuna historia nzuriiiiii na sare kabisa..
Imekua wiki ngumu sana kutoka kumpiga Real Madrid, na kumpiga Manchester City na sare na Newcastle ugenini nasema safiii sanaaa. Tunaanza tena upya kusaka pointi 3 muhimu sana ugenini vs Everton.

YNWA
 
kuhusu mistakes.....mm naona Allison ndo bingwa wa mistakes kuliko hata kelleher na ukumbuke hiyo jana kelleher ameokoa mistakes za mabeki kama mbili ambazo zilikuwa za wazi kabisa tunafungwa

sh*t happens
Jana ile itakua mistake ya kwanza ya Kelleher EPL msimu huu...ndio mpira ulivyo even the best can make mistakes wakati usiotegemea.

Msimu huu wachezaji wamepunguza sana mistakes leading to goals hivyo kwa hili tujue Slot yupo on top.

YNWA
 
2014 baada ya gerald kuteleza mechi ya chelsea akatoa boko iliyofuata tukapata sare 3-3 dhidi ya crystal palace,kama ulivyosema miaka ya klop imetugharimu sana na hawa everton ni kama mbwa kichaa hawatabiriki bado mechi ni ngumu kuliko hata ya city na madrid!
 

We all wait for the next bullet trigger, to……?!
Contract 1st

Ynwa.
 
Tetesi wa kwanza kusaini atakua VVD haha xmas comes early mate.

Le Captain with us next 2 years...

YNWA

Sidhani”, kama Vvd ni issue kubwa the issue ni kubalance vitabu juu ya Salah $ Trent hawa ndio wanademand high. Aisee Salah wampe £370k, Vvd wampe £300k, Trent £280k…
Then sign Salah’s and Vvd’s understudy

Slot need these fellas,. I swear
Fans need these fellas,. I swear
Even hear Jf we need these fellas,. I swear

Vvd, Salah, Trent.

Ynwa’
 
Itoshe kusema sare ni adui yetu mkubwa sana kwenye mbio za ubingwa...
Tukumbuke pia kipigo huua sana ari ya wachezaji hivyo bora sare kuliko tupigwe aisee.. In short winning is addictive so does losing, case study Manchester City mechi baada ya mechi amepoteza.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…