Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na always hawa jamaa wametuzia kuchukua ubingwa
2014 wakaachia 3-0 kilaini vs City
2019 sare i think ukiacha Origi magic
2023. Wakatupiga 1

Zote hizo zimetukosesha ubingwa

+ jeraha la VVD la kutaka kuharibu career yao

Everton ni Wapuuzi tu 🚮🚮 wanahisi mafanikio yao ni kuharibikiwa kwa Liverpool
 
Nyie kuku broiler Leo mzee kipara anawanyonyoa bila maji pale God park
Bata nyie🤣🤣

Mtashukaaa had nafas ya tatu
 
Ni aina za mechi unafungwa kwa passion,

Hahahah yaani mmewawin angle yote ila ubishi unaotona na passion, hamu ile ya tuwapunguze points hawa jamaa ama draw au tuwafunge” hiyo inakuwa headline jijini kwa weekend.

Dyche najua mpaka sasa anawaza 4-5-1, italigwa mid low block ya maana sana aisee,

But i see good win, Salah on a score sheet akiendelea kuwauliza FSG vipi mnatoa mkataba au bado, anajiondoa kwenye lawama pole pole.

Ynwa’
Salah anatetea ugali wake kibishi sanaa yaaani anapambana uwanjani na media nako anaongea ya moyoni, mambo ni mawili tu nipeni pesa ama naaodoka nikiwa motoo🔥 🔥 na wahitaji ni wengi akisema hasaini dogo asubuhi tu biashara ishaisha.

Lol Manchester City again haha hii EPL hii haya bado mapema sana kuchekelea lakini dalili ni kwamba kipara anateseka mno hajui afanye lipi kwa sasa amebaki ana beti...

YNWA
 
Kipara anapigana vijembe tu huko mtandaoni na Morinho
 
Na always hawa jamaa wametuzia kuchukua ubingwa
2014 wakaachia 3-0 kilaini vs City
2019 sare i think ukiacha Origi magic
2023. Wakatupiga 1

Zote hizo zimetukosesha ubingwa

+ jeraha la VVD la kutaka kuharibu career yao

It is their pride, na inakuwa kama Cup won kwao.

Hapo tumeongezekewa na ugumu wa jan - march, atachomekwa hapo katikati.

Anyway ku rest tutapata, na probably tutakuwa on fire majority watakuwa wamerudi, kama hatutakuwa na injuries.

Halafu mara nyingi mechi 5 au 6 za mwisho lazima either Everton or Worst man united na wanatuzuia
 
Salah anatetea ugali wake kibishi sanaa yaaani anapambana uwanjani na media nako anaongea ya moyoni, mambo ni mawili tu nipeni pesa ama naaodoka nikiwa motoo[emoji91] [emoji91] na wahitaji ni wengi akisema hasaini dogo asubuhi tu biashara ishaisha.

Lol Manchester City again haha hii EPL hii haya bado mapema sana kuchekelea lakini dalili ni kwamba kipara anateseka mno hajui afanye lipi kwa sasa amebaki ana beti...

YNWA

Haufurahii mateso ya Kipara?? Brother huyu jamaa for years hakuwahi kupitia hii anayoyapitia sasa,.

But i can smell this season wataishi kwenye ndoto zile zile huwa tunafanya recovery kuanzia Jan to March, ila msimu huu mambo ni tofauti kwa misimu hiyo ya recovery.

Kuna ka utofauti, kwa sasa Pep anatangulia goli tatu na yote yanarudishwa refer game ya Feyenoord (CL). Performance wise they are not good, even individual brilliance wana struggle.

Huyu Palace humsumbua sana Pep, ndio middle tu humfynga hata pale pale Etihad.
Hapo ndio ukubwa wake na ubora unapimwa”,. Moment kama hizi Klopp alizioga sana.

Hivi mchezaji kama Walker, Silva, Grealish, Unaweza kuwaambia nini kuhusu trophies wakuelewe na wapate motisha ya kuendelea kupigania timu?? Gundogan, Kovasíć.

City wanakosa Quality ile waliyokuwa wanaifanya for the last 6 yrs. Player like Savinho, sio quality yao ya kuitegemea he is not Maharez, Doku good play with bad end product, huyu ni kama Aaron Lenon, mbio chenga ila mwisho wa hayo haisaidii timu moja kwa moja.

Haaland, he is the monster of tap ins, out if their humuoni Halaand anakuwa abiria. Nunez hafungi yes but he will not go entire 90 mins unnoticed unlike Halaand. Halaand ni aina ya wachezaji wanahitaji huduma sana za karibu kuliko yeye kuhudumia timu pale asipohudumiwa.

Acha pep aonje ladha waliyoonja wenzake. Na kama Pep angekuwa kwenye moja ya team kati ya zile old top four (Arsenal, Chelsea, Liverpool & Man utd), asingeweza kudominate epl by winning four in a row. Why?? Financial muscles.

City anakununua Summer usipofikia wanapotazamia kufika unaondoshwa hata kwa mkopo after a 1/2 season, na sio kesi, anavutwa mwingine na wewe habari yako inaishai hapo. Ama ukiwa ndani ya timu haufikii viwango anavutwa mwingine kuchukua nafasi yako unasugua bench.

Ni timu ambayo inaweza kukuacha ukiwa na kiwango chako kizuri

K.Philips,
C. Bravo
F. Torres
L. Sane
J. Cancelo

Lakini ukiangalia old top four wanaweza kukomaa na injury prones wao for seasons, Pep hakuruhusu hili kwenye timu, kwa sababu ya financial back up anayoipata kwa familia ya kitajiri kutoka Dubai.

Nimejaribu kupitia leo, takwimu za timu City yupo no moja, wanachodai ana sponsor wengi wanaowapa pesa kitu ambacho uchunguzi wa 115 charges unaanzia hapo. Timu ambayo ina fanbase ndogo sana ila mapato makubwa mno na Sponsor walioorodheshwa wapo kwenye uchunguzi je pesa zinazosemekana kutoka kwao zina ukweli??

Itachukua muda kukutwa na makosa kwa sababu wanamwaga pesa kupunguza ukali wa kesi.

Kuna article niliisoma mahali juu ya shutuma juu ya michezo ya pep katika kukwepa wachezaji wake kupimwa, hii article alikuwa anaelezea daktari mmoja hivi. Hii ni since yupo Barcelona ndio maana ilikuwa ngumu kukuta Pep ana injury crisis”, Sikumbuki vizuri niliiweka wapi, Siku nikiipata nita share hapa.

Pep apitie tu anayopita bila kumuhurumia,

Ynwa’
 
Salah anatetea ugali wake kibishi sanaa yaaani anapambana uwanjani na media nako anaongea ya moyoni, mambo ni mawili tu nipeni pesa ama naaodoka nikiwa motoo🔥 🔥 na wahitaji ni wengi akisema hasaini dogo asubuhi tu biashara ishaisha.

Lol Manchester City again haha hii EPL hii haya bado mapema sana kuchekelea lakini dalili ni kwamba kipara anateseka mno hajui afanye lipi kwa sasa amebaki ana beti...

YNWA
Salah anataka kuvunja record zote pale liver ndomana anataka abak na sidhan hela anayo taka nikubwa sana kuliko atakayo pata kule uarabuni
 
Hawa chelsea wako njema

We should drop a single point… at least for the coming 5 games
 
Salah anatetea ugali wake kibishi sanaa yaaani anapambana uwanjani na media nako anaongea ya moyoni, mambo ni mawili tu nipeni pesa ama naaodoka nikiwa motoo🔥 🔥 na wahitaji ni wengi akisema hasaini dogo asubuhi tu biashara ishaisha.

Lol Manchester City again haha hii EPL hii haya bado mapema sana kuchekelea lakini dalili ni kwamba kipara anateseka mno hajui afanye lipi kwa sasa amebaki ana beti...

YNWA

Nawahofia sana Arsenal na Chelsea nahisi wanasubiri kimyakimya deadline ya Mkataba wake wamchukue
 
Back
Top Bottom