Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yaani hii ishu ya Salah na VVD inawapasua sana FSG, tukumbuke hawa ma yankees sio waumini wa kutoa mkwaja na mikataba mirefu kwa wachezaji waliovuka 30 lakin kwa fomu walionayo Salah na VVD msimu huu itakua huko FSG wanasugua vichwa nini kifuate kwa sababu kwanza wachezaji wenyewe ndio top earners pale Liverpool ina maana wakipanda tena wages watakua wanaekekea kwenye wages za Manchester City jambo ambalo FSG wako very concerned... Utaona FSG kutoa 70m+ kununua mchezaji lakin watamlipa below 100k wages, huo ndio utaratibu wao na wanauweza haswa mpaka pale sasa Salah na VVD ni word beaters sio tena levo ya wages za 160k kwa wiki huko washavuka....
Salah apewe 375k kwa wiki na miaka miwili inatosha. VVD apewe 275k kwa wiki na apewe miaka 2 inatosha na dogo Trent real scouser apewe 250k inatosha sana... Wasaini tubakie sasa kusaka makombe.

YNWA
 
Sawa kilichopo mechi ya saturday ipo mapema ni zile game ambazo klopp alikuwa hazipendi mwalimu afanye chaguo sahihi la first eleven tuchukue game mapema tuondoke na point 3 muhimu jioni tunawaangalia wengine bila pressure
YWNA!
 
Hakika wafumbe macho wawapatio watakacho msaada wao bado unahitajika klabuni!
 
Sawa kilichopo mechi ya saturday ipo mapema ni zile game ambazo klopp alikuwa hazipendi mwalimu afanye chaguo sahihi la first eleven tuchukue game mapema tuondoke na point 3 muhimu jioni tunawaangalia wengine bila pressure
YWNA!
Mara ya mwisho kwenda Goodison Park tulipokea kipigo kwa hawa jamaa. Hivyo Slot anahitaji utulivu sana approach ya hii gemu.
Nina imani na vijana.
Klopp alikua sio muumini sana wa mechi hizi za saa tisa baada tu ya mechi za kimataifa yaani ilikua inamkera haswa...
Kesho presha ipo kwetu tukiwaza Chelsea na Arsenal.
Vijana wengi pale wakiongozwa na Kapten wana uzoefu na hizi mbio za ubingwa...
Blue boys here we come...

YNWA
 
Naunga mkono hoja
 
Arne Slot confirms that Kelleher will remain in goal for the Merseyside derby.✅🧤

“Alisson is not ready yet but will be ready soon”.

“Diogo Jota and Federico Chiesa are also close to returning”.

While Ibrahima Konate, Conor Bradley, & Kostas Tsimikas are further away.
 
Hakika kabisa kama tuki-drop hao mafisi wanasubiri kwa ukaribu tuzidishe dua sana!
YNWA!
 

Wameshikwa pabaya sana.

But Klopp na Pep walipaswa wawahi mapema, ni vile they knew hawatakaa for long so hawakutaka ku tie watu for long ambao uhakika hawatakuwa nao. (Pep na Klopp walijua tu kwa hali ilivyo hatutaendelea hadi ifike 2027), but they are de person who should sort contract issue atleast after last season.

All in all ngoja tuone watawashawishi vipi, kuna hearsay Trent rejected initial offer kutoka kwa FSG don’t if it was true or not, but he needs to learn from Owen.

Owen kwenda Madrid hiki kitu kiliuma sana Kops, na hajawahi kumsahau Owen mpaka kesho na alipewa ubalozi kelele zilivumwa nyingi sana.

Owen anasema “ alimwomba sana Carra aongee na Rafa amrejeshe LFC, alimwambia fanya anything nirudi Anfield atleast i can do something kwa ajili ya Kops, ila Rafa akaweka ngumu (LFC Culture). Baadae akajipalia mkaa kwenda utd. Mpaka leo Owen akiingia Anfield anapokelewa na Boo Boo Boo, mwenyewe anasema inamuuma sana, ha feel kupenda hata kidogo, anajita sana kufanya ile move, hajifeel kama aliwahi kuchezea LFC.

Sasa kwa Trent anapaswa kuplay smart sana, vinginevyo itatengenezwa scenario ionekane amekimbilia pesa kuliko kuitumikia klabu iliyomlea, hapo chuki tayari. Na scourers huwa hawakuelewi aisee, ngoja tuone but before Christmass tunaweza kupata GOOD NEWS.

Ynwa’
 
Sawa kilichopo mechi ya saturday ipo mapema ni zile game ambazo klopp alikuwa hazipendi mwalimu afanye chaguo sahihi la first eleven tuchukue game mapema tuondoke na point 3 muhimu jioni tunawaangalia wengine bila pressure
YWNA!

Mechi ngumu sana.

Nafikiri atawaambia 1st forget about early kick off, ni mechi kama mechi zingine, that draw is a wake up call. We will see different match.

Ynwa’
 

Ni aina za mechi unafungwa kwa passion,

Hahahah yaani mmewawin angle yote ila ubishi unaotona na passion, hamu ile ya tuwapunguze points hawa jamaa ama draw au tuwafunge” hiyo inakuwa headline jijini kwa weekend.

Dyche najua mpaka sasa anawaza 4-5-1, italigwa mid low block ya maana sana aisee,

But i see good win, Salah on a score sheet akiendelea kuwauliza FSG vipi mnatoa mkataba au bado, anajiondoa kwenye lawama pole pole.


Ynwa’
 

Kelleher deserves. Totally agree [emoji736]

Kelleher
Trent
Quansah
Vvd
Robbo

Graven
Jones
Szobo

Salah
Diaz
Gakpo

I feel option ya kwanza ya Everton ni kuzuia kuanzia katikati ya uwanja na too many bodies, Diaz will be good idea kuanza as ST kwenye free role, paired him and Szobo as double 10 it will add quality offensively, Jones akitokea chini kuja juu he is much good kuliko akicheza juu especially akianza. (Keyword Especially akianza). Ila akitokea bench he is good pale juu.

Will be much tough match, its their last Merseyside Derby match at Goodson park. Hii pride watataka kuifanya kwa namna ya pekee.

Tomorrow i would like to see Elliot indeed get some mins, as 10. We gonna get flavour.

A win to LFC[emoji736]

Ynwa.
 
Tatizo tutatoka bila injury? Hawa jamaa wanatupiga sana buti, kupoteza muda na always marefa wanakua upande wao.
 
Game postponed due to adverse weather conditions.

Hii naipokea with mixed feelings, kwanza I am happy kuwa wachezaji watapata the much needed recovery time including wale waliokuwa injured.

Pili naona ni game ambayo tungeenda kushinda mapema na pressure ingekuwa kwa wale wanaotufukuzia lakini hapa kama hao wengine wakicheza na kushinda basi pressure inarudi kwetu kwasababu gap linazidi kuwa squeezed.

All in all. Ni muhimu wachezaji wakipata muda wakupumzika zaidi.
 
Tatizo tutatoka bila injury? Hawa jamaa wanatupiga sana buti, kupoteza muda na always marefa wanakua upande wao.

Naam. Game forfeited

But nafikiri huenda ikaongeza pressure siku hizo, schedule itapangwa Jan to Feb katikati hapo. It would be a better tucheze leo tumalizane leo regardless ya matokeo.

Ynwa
 
Naam. Game forfeited

But nafikiri huenda ikaongeza pressure siku hizo, schedule itapangwa Jan to Feb katikati hapo. It would be a better tucheze leo tumalizane leo regardless ya matokeo.

Ynwa
Na always hawa jamaa wametuzia kuchukua ubingwa
2014 wakaachia 3-0 kilaini vs City
2019 sare i think ukiacha Origi magic
2023. Wakatupiga 1

Zote hizo zimetukosesha ubingwa

+ jeraha la VVD la kutaka kuharibu career yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…