Salah anatetea ugali wake kibishi sanaa yaaani anapambana uwanjani na media nako anaongea ya moyoni, mambo ni mawili tu nipeni pesa ama naaodoka nikiwa motoo[emoji91] [emoji91] na wahitaji ni wengi akisema hasaini dogo asubuhi tu biashara ishaisha.
Lol Manchester City again haha hii EPL hii haya bado mapema sana kuchekelea lakini dalili ni kwamba kipara anateseka mno hajui afanye lipi kwa sasa amebaki ana beti...
YNWA
Haufurahii mateso ya Kipara?? Brother huyu jamaa for years hakuwahi kupitia hii anayoyapitia sasa,.
But i can smell this season wataishi kwenye ndoto zile zile huwa tunafanya recovery kuanzia Jan to March, ila msimu huu mambo ni tofauti kwa misimu hiyo ya recovery.
Kuna ka utofauti, kwa sasa Pep anatangulia goli tatu na yote yanarudishwa refer game ya Feyenoord (CL). Performance wise they are not good, even individual brilliance wana struggle.
Huyu Palace humsumbua sana Pep, ndio middle tu humfynga hata pale pale Etihad.
Hapo ndio ukubwa wake na ubora unapimwa”,. Moment kama hizi Klopp alizioga sana.
Hivi mchezaji kama Walker, Silva, Grealish, Unaweza kuwaambia nini kuhusu trophies wakuelewe na wapate motisha ya kuendelea kupigania timu?? Gundogan, Kovasíć.
City wanakosa Quality ile waliyokuwa wanaifanya for the last 6 yrs. Player like Savinho, sio quality yao ya kuitegemea he is not Maharez, Doku good play with bad end product, huyu ni kama Aaron Lenon, mbio chenga ila mwisho wa hayo haisaidii timu moja kwa moja.
Haaland, he is the monster of tap ins, out if their humuoni Halaand anakuwa abiria. Nunez hafungi yes but he will not go entire 90 mins unnoticed unlike Halaand. Halaand ni aina ya wachezaji wanahitaji huduma sana za karibu kuliko yeye kuhudumia timu pale asipohudumiwa.
Acha pep aonje ladha waliyoonja wenzake. Na kama Pep angekuwa kwenye moja ya team kati ya zile old top four (Arsenal, Chelsea, Liverpool & Man utd), asingeweza kudominate epl by winning four in a row. Why?? Financial muscles.
City anakununua Summer usipofikia wanapotazamia kufika unaondoshwa hata kwa mkopo after a 1/2 season, na sio kesi, anavutwa mwingine na wewe habari yako inaishai hapo. Ama ukiwa ndani ya timu haufikii viwango anavutwa mwingine kuchukua nafasi yako unasugua bench.
Ni timu ambayo inaweza kukuacha ukiwa na kiwango chako kizuri
K.Philips,
C. Bravo
F. Torres
L. Sane
J. Cancelo
Lakini ukiangalia old top four wanaweza kukomaa na injury prones wao for seasons, Pep hakuruhusu hili kwenye timu, kwa sababu ya financial back up anayoipata kwa familia ya kitajiri kutoka Dubai.
Nimejaribu kupitia leo, takwimu za timu City yupo no moja, wanachodai ana sponsor wengi wanaowapa pesa kitu ambacho uchunguzi wa 115 charges unaanzia hapo. Timu ambayo ina fanbase ndogo sana ila mapato makubwa mno na Sponsor walioorodheshwa wapo kwenye uchunguzi je pesa zinazosemekana kutoka kwao zina ukweli??
Itachukua muda kukutwa na makosa kwa sababu wanamwaga pesa kupunguza ukali wa kesi.
Kuna article niliisoma mahali juu ya shutuma juu ya michezo ya pep katika kukwepa wachezaji wake kupimwa, hii article alikuwa anaelezea daktari mmoja hivi. Hii ni since yupo Barcelona ndio maana ilikuwa ngumu kukuta Pep ana injury crisis”, Sikumbuki vizuri niliiweka wapi, Siku nikiipata nita share hapa.
Pep apitie tu anayopita bila kumuhurumia,
Ynwa’