BR alishaharibu hii game tangu first half, poor team selection, tactics za kisenge tu, anaona mashabiki wote wa LFC ni ------- tu...
Kocha hana hadhi ya kufundisha hii club...team aliyoianzisha ni mbovu kuliko hata wachezaji waliokuwepo bench...(Can, lallana, Moreno, sakho, Coutinho)...
Afukuzwe LFC, hatakiwi kubaki, kishatuharibia msimu, kwanini aendelee kuuharibu??
tulishaongea sana humu, kuna watu wakawa wanamtetea, katuuzia kina Agger, reina etc...kina ibe kawatoa kwa mikopo..team halina balance..anaendelea kutuwekea misese tu uwanjani..kocha ------ huyu hatufai kabisa...------ sana.