Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dakika ya ngapi?
Playing Hendo as LW ni "beeeeep beeeep" sana!
You have Moreno, and yet a shitty player kama Enrique yupo uwanjani.
Markovic kasajiliwa wa nn?? team haina Pace???
------ lambert anafanya nn kule mbele??? na Una borini?? cha ajabu huyo Borini hayupo hata bench na yupo fit..
Emre Can yupo bench, really??
Hahahahaha!! SG uptop with Lambert!!!!! hata kibadeni hawez kufanya huo "beeeeeep beeep!"!!!
afu kuna majitu bado yanamuhitaji kocha ------ kama huyu!!
Rogders anatutia aibu ambayo hatuistahili...hii ni LIVERPOOL FC "beeep beeeeep!"...
dakika ya ngapi?
BR alishaharibu hii game tangu first half, poor team selection, tactics za kisenge tu, anaona mashabiki wote wa LFC ni ------- tu...
Kocha hana hadhi ya kufundisha hii club...team aliyoianzisha ni mbovu kuliko hata wachezaji waliokuwepo bench...(Can, lallana, Moreno, sakho, Coutinho)...
Afukuzwe LFC, hatakiwi kubaki, kishatuharibia msimu, kwanini aendelee kuuharibu??
tulishaongea sana humu, kuna watu wakawa wanamtetea, katuuzia kina Agger, reina etc...kina ibe kawatoa kwa mikopo..team halina balance..anaendelea kutuwekea misese tu uwanjani..kocha ------ huyu hatufai kabisa...------ sana.