Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi wale Watu waliokuwa wakituletea Matakwimu na Mambinu ya Amorim hawajafuta zile posts zao kweli?

Walitaka kutuaminishia kuwa jamaa ni zaidi ya Klopp
Nipo hapa Mkuu. Kwa bahati mbaya sana dogo Amorim ametua timu ambayo inahitaji zaidi ya dirisha 3 kuiweka sawa kwani kwa wachezaji waliopo usitegemee sana wawe na maajabu zaidi ya haya unayoona labda kama wamamwelewa mwalimu kwa haraka sana jambo ambalo hata yeye anatia shaka. Amewaambia lazima wakimbie kama mbwa anaeumwo kichaa kusudi mfumo wake ufante kazi.
Amorim amekiri ana kibarua kigumu kweli kweli pale..
Ikukumbukwe huyu dogo Liverpool alikua chaguo la kwanza kabla hajaleta drama za kutaka kupidisha release clause yake kisa eti Westham.
Na kingine huyu Amorim ndio alikua anatajwa kama mrithi mtarajiwa wa Kipara pale Ethad.
Kwa hali ya wachezaji wa Manchester United hata aje Klopp pale mateso yapo tu... Poor recruitment na kuishi kwa past glory kunawa gharimu

YNWA
 
Nawahofia sana Arsenal na Chelsea nahisi wanasubiri kimyakimya deadline ya Mkataba wake wamchukue
Tunahitaji Salah asaini mapema sana maana hawa Chelsea utulivu wa VVD, Salah unahitajika kwenda nao sawa...
Tazama...
Bwana Chelsea wapo under the radar yaani kimya wamechukua kusuasua kwa Arsenal na Manchester City kwao ni fursa.... Hawakutajwa hata Big 4 yaani msimu huu wacheza kamali majuu wanaweza kupoteza mapesa.
Mshindaani wetu bila shaka kwa sasa ni Chelsea, hajapoteza gemu kwa timu za kule 10 down ward na mechi 7 zijazo on paper sio gemu ngumu.

Kwa sasa tumewaacha kwa pointi 4 tukiwa na kiporo gemu moja.

Tazama Liverpool gemu zijazo

Kwa mechi hizi hatuhitaji Salah ambaye ni assist King na magoli yake muhimu akiwa hana mashaka na kesho yake Anfield. tetesi ni kwamba wameshaaanza mazungumzo ngoja tuone kama kabla ya January watakua wamefikia pazuri.

YNWA
 
Liverpool is the last English club to Produce an English Balond'or Winner

Liverpool is the the Only Premier league club with most champions league Titles

Liverpool is the only English club to have played most Champions league finals

Liverpool is the only English club to Produce 2 Golden boot winners in the same season

Liverpool is the only English club with the most European tittles

Liverpool is the only English club with most Europa League tittles

Liverpool has the Record for the Greatest champions league final in football history

Liverpool has joint Premier league trophies (20) Yes because we're equalizing it this season

Everything about Liverpool is only Only Only Only.....Without Liverpool, English Football would have probably be like the Romanian league and would probably be out of Top 6 Biggest clubs in Europe

We're the best Team in English football history and the Pride of England
 
I like the skwezing one haha 20 here we come 🙏🏼🙏🏼🔥🔥🔥🔥🔥🔥

YNWA
 
Mtazamo mzuri.

Ila THE BLUES msimu huu tunajenga timu ya ushindani kwa msimu ujao na sio kubeba Kombe. Kuweni na amani tuendelee kuonyeshana makali.
 
Na kama unaangalia mechi ya UEFA leo hutokaa umlinganishe Alison Becker na Keleher tena.
Binti machachari sana yupo kuandika hisia kuliko uhalisia.

Slot 🗣️

Alisson, [who] has been so outstanding for this club for so many years and for the Brazil national team. [It] is definitely nice to have him back and to have him available.

But if you then look at how his replacement did, it’s not going to be easy to do it even better. So, we expect definitely the same and maybe on margins a bit better.

But Caoimhin [Kelleher] also did so well that we can say that we have two very good goalkeepers, like our left wingers, that can do the job for us.

But for so many years, Alisson has been so outstanding for this club that we are expecting and hoping him to do the same in the upcoming weeks and months.”
 
He is doing the same.
 
Huu mzigo ukibaki LFC next season, Hatutakuwa serious Club,Hafai wala hana sifa za kuwa kwenye our IX.

THIS GUY IS WEAK., POOR STRIKER, Ifike muda kutubali huyu mtu sio standard LFC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…