Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jitahidini mwaka huu mbebe ubingwa, siyo mnaongoza kwa points nyingi hivyo halafu mwezi May Chelsea au City anatawazwa ubingwa
 
Nunez bado ni striker bora kama hafungi bado ana mishe mishe zinazotamanisha labda kesho atafunga anasidia majukumu mengine uwanjani!
 
Nunez bado ni striker bora kama hafungi bado ana mishe mishe zinazotamanisha labda kesho atafunga anasidia majukumu mengine uwanjani!
mkuu wanaposema hafungi wanamaanisha kwenye mechi 19 kafunga goli 3 tu, mbaya zaidi anashindwa kulenga goli anapiga nje hata akibaki na kipa yeye ana kugongesha Miamba duh.😂 kufunga magoli haufundishwi. kama haujui haujui tu.
Hiyo striker bora linakujaje hapo mkuu kama hata ubakie wewe na goli unapiga nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…