Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana Nunez ndio wild card wa Slot.... 🙈🙈🙈🙈🙈Ila Nunez man his shooting accurate boots zipo Benfica aisee akazifuate tu hakuna namna.Haiwezekani Nunez tumuache huko huko spain?
mkuu wanaposema hafungi wanamaanisha kwenye mechi 19 kafunga goli 3 tu, mbaya zaidi anashindwa kulenga goli anapiga nje hata akibaki na kipa yeye ana kugongesha Miamba duh.😂 kufunga magoli haufundishwi. kama haujui haujui tu.Nunez bado ni striker bora kama hafungi bado ana mishe mishe zinazotamanisha labda kesho atafunga anasidia majukumu mengine uwanjani!