Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa mbona unamuambia aje kwetu wakati sisi ndio vinara wa ustaarabu? Hao wengine sawa, ila hapo kwetu umekosea.
 
Sasa mbona unamuambia aje kwetu wakati sisi ndio vinara wa ustaarabu? Hao wengine sawa, ila hapo kwetu umekosea.
Sorry man πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Kuna vijana wa hovyo sana, mpira wa ulaya ni burudani lakini wao huja na ushabiki maandazi wa Simba na Yanga mpaka kwenye nyuzi kama hizi
 
Sorry man πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Kuna vijana wa hovyo sana, mpira wa ulaya ni burudani lakini wao huja na ushabiki maandazi wa Simba na Yanga mpaka kwenye nyuzi kama hizi
Tena ana bahati sana umemjibu kwa kiswahili ili aelewe na aelimike japo kidogo. Ungekasirika umgemjibu kwa Kiingereza kama ilivyo kawaida ya jukwaa hili, akabaki anaduwaa tu
 
Nikiwa kama shabiki wa Fulham, sijafurahishwa na uwezo wa wachezaji wangu wa Fulham πŸ˜‚
 
[emoji16][emoji16][emoji16].......DEAD PLAYER [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 3176732
A hard working horse

Injuries zimemrudisha nyuma sana… akili inataka lakini mwili umechoka

One of our best servants

Full respect to him

We need a new left back
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…