HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 2,952
- 5,583
Sasa mbona unamuambia aje kwetu wakati sisi ndio vinara wa ustaarabu? Hao wengine sawa, ila hapo kwetu umekosea.Huu uzi ni Wastaarabu sana Kijana, ukitaka sifa, Kiki za kijinga tembelea nyuzi za Man U, Arsenal au Chelsea.
Huwa watu hujadili football bila kejeli, matusi na lugha zisizo na staha.
Kwa kifupi humu huwa tunasambaziana upendo kwa kupeana taarifa na uchambuzi ulioshiba wala sio ujinga, kejeli na maneno yaliyokosa staha.