The MoNA Mkuu game vs Spurs ilikuwa ni ya kimbinu sana mwisho wa siku Arne Slot kamuweza Postecoglu kwa kila kitu tunaomba analysis ya huu mchezo Mkuu.
Wao na sisi tumefanana kwa asilimia kubwa kwa game ya jana kwenye line up.
Spurs wamekosa mabeki wao muhimu wawili, mihimili yao. Na upande wa kushambulia ni hatari jamaa wale. Same na sisi utofauti kwetu tulimkosa Konate (The beast without the ball).
Nilitazama mechi nikiwa nawajibika.
Ila kwa dakika nilizoona, Spurs walitaka kupita katikati zaidi hivyo wakawabana Macca na Gravern wasipokee mipira comfortably ili wasiwe na good progression. Narrow pressing yao iliwapa faida kubwa goli la kwanza la Spurs ndio mkakati wa Postilegue ulipokuwapo. Pressing high with many bodies but narrowly target ikiwa Macca na Gravern, wasipewe comfort zone.
Most of first half ilikuwa hivi.
But where did we win them.
1. Rest ya wachezaji almost 7 siku kama sita.
2. Players’ quality and desire
3.Slot tactics
Namba tatu tuongelee
Slot aliamua kuanza na Diaz as false 9 with free role. Why? ability yake ya dribbling, uwezo wake wa kufunga, nyakati ngumu, his energy plus pace.
Most of the match, Diaz alishuka Chini kiasi ili kutengeneza line ya watu wa nne as 4-4-2, Gravern, Macca, Szobo na Diaz huku Gakpo na Salaha wakibaki mbele, kuna muda 3-4-3 ilitumika, kuna muda 4-3-3 ili kuendana na aina ya wachezaji waliokuwepo wa Spurs na mpango wa Spurs kukabia juu na namba kubwa.
Baado ya hapo ikabaki kwa wachezaji kuamua kwa uwezo binafsi. Sasa hapa ndio unahitaji passers wazuri from behind (Trent, Vvd, Macca) uwe na runners wazuri, (Salah, Diaz, Szobo, Gakpo). Mtaishinda press ya aina ya Spurs.
Zilipigwa Turns over ambazo ni Silaha kubwa kwa LFC (ETH alisema they are the best on turn overs they will kill you).
Szobo as 10 nafikiri hii best performance yake season hii, his energy, his pace, was incredible. Ile sasa ndio namba 10 tunayoitaka na anayoitaka Slot, produce good numbers as 10. Best best performance from Szobo. Sasa tunamdai consistency.
Salah.
Kuna cha zaidi?? Give Contract
Trent?? Ukimuacha afikirie atakacho akiwa na mpira atakuumiza. Honestly Trent ame improve somehow defensively bado kukubali anaweza kuregister good no as RB na kiwa defensively player. 1v1 anazidi kuimarika sana
Give him 5 yrs contract.
Posteceglue akipata suluhisho la kuzuia watu watachezea nyingi nyingi sana. Akiwa vizuri anakufumua nyingi na akiwa vibaya una mfuamua nyingi nyingi. Hii inanikumbusha misimu miwili ya Klopp at Anfield tulishinda nyingi nyingi na tuliruhusu mengi mengi mpaka tulipowapata,
Alisson, Vvd,Robbo and Fabinho as our defensively minded players. Ange akishughulika defensively anaweza wapa Spurs matumaini makubwa sana.
Play like a champion and most likely you will be a champion.
Robbo Robbo Robbo:-
Anapaswa kufanya maamuzi sahihi before football leave him.
Nasubiri ujio wa Bradley, Tsimi & KONATE, tupate good rotation na balance defensively line.
Know You Can
Ynwa’