Wakuu heri ya sikuku ya xmass.
Hongereni kwa ushindi mzuri wa jana usiku dhidi ya leicester city wa 3-1.
Eveton wamekuwa wakitubeba kiaina japo ni mahasimu wetu. Kwenye game zao 7 wamepoteza game 1dhidi ya United.
Wameshinda game 1 dhidi ya Wolve.
Game zilizobakia katoa sare dhidi ya westham united, Brentford, Arsenal, Chelsea na City jana.
Game yetu na wao iliahirishwa. Kwangu naona kama kwa upande wetu ilitulipa. Acha ibaki kama kiporo wakati tunaendelea kutoa adhabu kali kwa wengine.
City kwa sasa sio washindani wetu tena. Chelsea nao kumbe ni homa za mara kwa mara, hawana pumzi. Tuna kila kitu cha kutufanya kumaliza hii mission..
Next game ni vs Westham huko london