Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IBOU pale tuna beki
 
Watu hawataki kukubali ukweli kwamba Kelleher amekuwa na form nzuri kumzidi Allison.
 
Everton hawezi kutubeba hata iweje....alipo hizo sare anapigania roho yake. Aliko hana uhakika wa kubaki kwenye EPL ana hali si nzuri so anahitaji points sana
 
Everton hawezi kutubeba hata iweje....alipo hizo sare anapigania roho yake. Aliko hana uhakika wa kubaki kwenye EPL ana hali si nzuri so anahitaji points sana
Ndio kubwebwa kwenyewe kiana huko. Na pale juu nimesema japo ni mahasimu wetu.
Kuwasimamisha Arsenal, chelsea na city si ametusaidia lakini? Japo naye anajipambania?
 
Saint Anne
Msome Salah hapa baada ya Gakpo ku equalise

Salah on Gakpo equaliser:

“Great. It gives us confidence in the second half to go win the game. 1-0 down and you need to focus on equalising. He scored a great goal. It is something he practices a lot in training. It was a great finish from him."
 
Ndio kubwebwa kwenyewe kiana huko. Na pale juu nimesema japo ni mahasimu wetu.
Kuwasimamisha Arsenal, chelsea na city si ametusaidia lakini? Japo naye anajipambania?
Walitukomoa msimu ambao tunawahitaji watubebe, wakampa City ushindi rahisi kweli kweli tukazidiwa point 1, wakati walitakiwa kukomaa na sare tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…