Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Salah ni mwamba
Hana choyo kusifia wadogo zake
Currently Cody amekuwa mzuri mno yaani
 
Rent boys walishaanza kuleta kiburi na misemo yao ya kiajabuajabu eti wao wanahitaji points 3 kila mechi tu.

Haya warudi wakajenge Timu angalau wamalize juu ya Man United manake Arsenal leo anaenda kuwatoa kwa Mapanga pale nafasi ya Pili walipojichomeka.
 
🗣️ José Mourinho: "The day Pep wins a Champions League Trophy with a club like FC Porto would be the day I will retire from football".

Pep can never deliver anything with a limited budget 😂😂😂😂
Bila Hela za mafuta jamaa hatoboi
Yule angekuwa na timu yenye kikosi finyu kama Liverpool
Angekuwa anachanja mbuga conference.
 
The MoNA Mkuu heri ya Sikukuu
Hivi kwa mfano Zubimendi akisajiliwa ni nani atakayempisha ili yeye awe starter?

Kwa sasa Zubimendi mwenyewe anaweza kuanzia bench. Wanachokifanya MF’s hauwezi kuliona pengo labda itokee injury ya Gravern na Macca kwa pamoja,

Rotation uwanjani inavyofanyika inasadifu hili.

Hawa jamaa wote kwa pamoja wanacheza nafasi zao asili na interchanges zinafanyika

Gravern
Jones
Macca
Szobo

Incase Zubimendi anakuja, rotation itakuwa kubwa zaidi ila Gravern, Macca na Zubi hawa watakuwa na mins za kutosha sana, Szobo akitoa performance kama ya vs Spurs atapata good mins the Jones.

Kuna hisia zinaniambia we have to deal with defensive line, more than MF , tupate great balance, especially LCB, ila ikiwa tutakwenda kwa Zubi will be a great great deal.

Ynwa’
 
Saint Anne nitake radhi,

1.Sio mbobevu kwenye uchambuzi.

2. Hapo kwenye kujiona na ******** hilo somo nilishafeli zamani sana aisee, maringo nawaachia watoto wa 2000,

Anyway Merry Christmas & Happy New Year (2025) in advance.


Ynwa’
 
🗣️ José Mourinho: "The day Pep wins a Champions League Trophy with a club like FC Porto would be the day I will retire from football".

Pep can never deliver anything with a limited budget 😂😂😂😂
I have held the same opinion myself. Sijawahi kum-rate Pep hata kidogo. Mpaka siku aje afundishe team ambayo inaweza kumsajilia average players tu na sio proven world class players.
 
Saint Anne nitake radhi,

1.Sio mbobevu kwenye uchambuzi.

2. Hapo kwenye kujiona na ******** hilo somo nilishafeli zamani sana aisee, maringo nawaachia watoto wa 2000,

Anyway Merry Christmas & Happy New Year (2025) in advance.


Ynwa
Watoto wa 2000 na kumi mnakuja Kasi😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…