Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dogo atapiga ela ndefu kama akiodoka bure design kama Mbappe yaani...

Kama ni kweli basi agent Bellingham kafanikiwa parefu kumgeuza dogo kwamba maisha yapo Madrid atashinda na Ballon pale🤣🤣🤣nipo hapa nasubiri miujiza mie.

YNWA
Na real Madrid wanasema hawato sajili ila wanamsubiri as free agent.
 
Kwangu hakukaliki natembelea majirani mtumishi
Tulipokuwa tunasajili kocha
Mlikuwa busy kuchekacheka..
Mnasajili tapeli Alibahatishq
Kwangu mm aina hiyo ya Magoli Gakpo ni mzuri kuliko Diaz.
 
Sio kusema ukweli ndio ukweli most goals hata ha move yaani kabisa unaona lijamaa Hali move likae bench mechi kadhaa tuendelee na kijana wetu kelleher na yeye kama anataka kuondoka aondoke

Anyway anyone who wants to leave Liverpool aondoke na believe Michael anafanya kazi nzuri kuwapa mikataba hawa jamaa watatu wanazingua Sana it's disgusting Kwa kweli like Trent kaa bench au nenda Madrid hata katikati ya msimu uende kupasha nao ... Tupoteze league fresh sometimes hawa players wanataka waheshimu Sana fans aisee

Trent is totally losing his head
 
😂😂😂😂
 
Naby Keita was never a problem for Klopp and Liverpool.
He was not even a regular starters due to his daily hospitalisation.

I'm talking about regular starters with poor delivery.
He was a deadly problem, imagine bwana Klopp aliamua tuu kutoa sadaka msimu mzima kwa ajili ya kumsubiri huyo tapeli

Yani unaamua kutosajili kiungo wa maana eti umelipa hela kumsubiri Keita Next seazon, then ikawa moja ya worst transfer
 
Na real Madrid wanasema hawato sajili ila wanamsubiri as free agent.
Kwa mfano kwa Mbappe ana signing bonus ya £85m analipwa pale Real Madrid kwa kumbali tu hataongeza mkataba PSG na kutimkia pale Real Madrid, hio ipo nje ya mshahara.

Hivyo na Trent wake PLG wakicheza karata vizur watapokea pesa za kutosha.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…