Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dogo atapiga ela ndefu kama akiodoka bure design kama Mbappe yaani...

Kama ni kweli basi agent Bellingham kafanikiwa parefu kumgeuza dogo kwamba maisha yapo Madrid atashinda na Ballon pale🤣🤣🤣nipo hapa nasubiri miujiza mie.

YNWA
Na real Madrid wanasema hawato sajili ila wanamsubiri as free agent.
 
Kwangu hakukaliki natembelea majirani mtumishi
Tulipokuwa tunasajili kocha
Mlikuwa busy kuchekacheka..
Mnasajili tapeli
Diaz yupi huyo?? Ana magoli mengi ya hivyo sema ama haujayashuhudia au umesahau, game vs palace last season Anfield alifunga la hivyo,. Kwa mie zuri kuliko la Gakpo la jana.

Diaz vs Spurs Anfield
Diaz vs Portugal

Kamuangalie Diaz wa FC Portal aina ya magoli yake… kamuangalie Diaz akiwa na Jersey no. 27 mgongoni akiwa LFC

Otherwise uwe unatania tu.

Ynwa’
Alibahatishq
Kwangu mm aina hiyo ya Magoli Gakpo ni mzuri kuliko Diaz.
 
Kusema ukweli ni kama confidence ya AB golini imepungua. Kelleher haya magoli aliyofungwa Allison recently ange save most of them.

Japo tuna lapse of concentration pale nyuma tukiwa under pressure. Defence yetu inakuwa very unexpectedly porous at times.

I hope Konate atarudi mapema labda ile solidity tuliyokuwa nayo itarejea na cleansheets zitarejea.
Sio kusema ukweli ndio ukweli most goals hata ha move yaani kabisa unaona lijamaa Hali move likae bench mechi kadhaa tuendelee na kijana wetu kelleher na yeye kama anataka kuondoka aondoke

Anyway anyone who wants to leave Liverpool aondoke na believe Michael anafanya kazi nzuri kuwapa mikataba hawa jamaa watatu wanazingua Sana it's disgusting Kwa kweli like Trent kaa bench au nenda Madrid hata katikati ya msimu uende kupasha nao ... Tupoteze league fresh sometimes hawa players wanataka waheshimu Sana fans aisee

Trent is totally losing his head
 
😂😂😂😂
 
Naby Keita was never a problem for Klopp and Liverpool.
He was not even a regular starters due to his daily hospitalisation.

I'm talking about regular starters with poor delivery.
He was a deadly problem, imagine bwana Klopp aliamua tuu kutoa sadaka msimu mzima kwa ajili ya kumsubiri huyo tapeli

Yani unaamua kutosajili kiungo wa maana eti umelipa hela kumsubiri Keita Next seazon, then ikawa moja ya worst transfer
 
Na real Madrid wanasema hawato sajili ila wanamsubiri as free agent.
Kwa mfano kwa Mbappe ana signing bonus ya £85m analipwa pale Real Madrid kwa kumbali tu hataongeza mkataba PSG na kutimkia pale Real Madrid, hio ipo nje ya mshahara.

Hivyo na Trent wake PLG wakicheza karata vizur watapokea pesa za kutosha.

YNWA
 
Back
Top Bottom