Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hamna mchezaji ana akili kubwa golini kama jota
Sema ndio hivyo! Mungu hakupi vyote.
Mungu amemjaalia uwezo mkubwa ila mifupa inamkataa,Roho I radhi ila mwili
Njoo sasa Kwa Nunez/DiaZπŸ˜„
Miili Ina nguvu ila uwezo wa kutambua wapi nipige na iweje ndio ngumu.
 

Unfortunately Quansah Light switched off vs United ?? Heheh coincidence?? Unakumbuka ile pass fyongo aliitoa kwa Bruno last season, pale ndipo tulimpoteza Quansah he is not that guy again.

But I’m still rating him high, even though Bristol rovers’ fans walisema mchezaji wa kawaida (need to research kama ni kweli),
 

Alicheza game moja as CB & Inverted DM akachukua MOTM, ilikuwa Carabao Cup vs S’ton.

Ynwa’
 
Nasema uongo ndugu zangu?
Yaani jamaa anajilazimisha tu kuongea kiswahili.. siyo pigo zake kabisa
Ndio utajua utofauti wa maisha πŸ˜„
Wakati kule Chelsea wanaongea kiswahili utadhani wapo kwenye vijiwe vya alkasusu.
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Miss Liverpool is back

YNWA
 
Boy has potential... Its takes loads of xcter to produce or shift that to the real games...
Aangalie graph ya Jones na Elliott ataona ana future kwa sasa awe na utulivu tu.
Hio ya Bristol sina taarifa zao.

YNWA
 
Alicheza game moja as CB & Inverted DM akachukua MOTM, ilikuwa Carabao Cup vs S’ton.

Ynwa’
Nice angalau next games Dommy Elliott Jones Macca can compete for dakika pale kati aafu Yakuza atazamwe pale back line

YNWA
 
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Miss Liverpool is back

YNWA
Sasa Bobby utajuaje kiswahili muda wote unakaa na watu wanaongea kizunguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Njoo mkoani huku Chanika, Manzese yaani mbona wiki tu ushakuwa expert.

Sema Mimi napenda sana English yako aisee
Siyo ya kuunga unga na super glue kama za wengine.
 
Hahaha Miss Liverpool mbona nipo uswazi aisee huko uzunguni wapeee.

Much appreciation sunshine.

Nashukuru sana kwa shout out mwaka 2024. Tumekua pamoja sana 😍 😍 😍 😍

YNWA
 
Hahaha Miss Liverpool mbona nipo uswazi aisee huko uzunguni wapeee.

Much appreciation sunshine.

Nashukuru sana kwa shout out mwaka 2024. Tumekua pamoja sana 😍 😍 😍 😍

YNWA
Wewe huyo?
Upo uswahilini? πŸ˜‚
Sitaki kuongea sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi nataka unifundishe kizungu angalau nifikie hata robo ya kiingereza chako.

Nitakufundisha kiswahili fasaha.
 
Kama kweli nasimama na Slot kwenye huu mpango. Jota kwa kufunga yupo vzuri sana changamoto ni kukaa na uzima wake yani ni shinda sana.

Jota awe super sub tu inatosha.

YNWA
 
Wewe huyo?
Upo uswahilini? πŸ˜‚
Sitaki kuongea sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi nataka unifundishe kizungu angalau nifikie hata robo ya kiingereza chako.

Nitakufundisha kiswahili fasaha.
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Mie ndio bhana kumbe nani.....
Uishie apo apo😎😎😎😎

Thanks ticha wa mie 😍

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…