Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
ππππ Lazima uone like ya Miss Liverpool π€π€π€Nunez aendelee kuwa mpenzi mtazamaji
YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππ Lazima uone like ya Miss Liverpool π€π€π€Nunez aendelee kuwa mpenzi mtazamaji
Nasema uongo ndugu zangu?Captain Marvelous unamsoma Saint Anne lakini? π€£π€£π€£
Kwani kuna shido? πππππππ Lazima uone like ya Miss Liverpool π€π€π€
YNWA
Hamna mchezaji ana akili kubwa golini kama jotaKwanza Jota is our most clinical finisher hivyo haitaji mechi dakika nyingi kifunga 2-3 chances basi ni 1/2 goals.
Pili Jota ni injury prone hivi land inconsistency player, namna ya kujaribu kumkinga na haya ni less mins. Kacheza mechi tatu goli mbili. Naweza kukubaliana na hili.
Ynwa
KasitivurugeNa mahaba yashakufa tayari? π€£π€£π€£
Toka ushuani hukoHuyu Miss Kelleher ana vituko sana ujue.
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Miss Liverpool nakuzoom ujue.
YNWA
Even Trent star was born while playing in big game vs Manchester United akamzima Rashford then came Manchester City with Sane nae akazimwa well the rest ndio huyu hapa anaitamani sana Real... Hivyo huyu Quansah ni ishu la kujiamini tu maana kipaji kipo ishu ni kufuata mfumo na kujiamini rest will be history.
YNWA
akiwa Liverpool hajachezeshwa pale CB,... huko Ujeremani alitumika sana CB na DM na kwa ufanisi mkubwa tu hivyo Slot kama atahitaji msaada pale asitZame mbali Endo yupo hapa.
Japo kama tungekua na matajiri waelewa ilikua kuingia sokoni tu maana inafahamika tangu kitambo Gomez na Konate ni pancha muda wowote hivyo wakati dogo Quansah anakomozwa muhimu watazame pia soko kama kuna mchezaji wa kununua CBR.
YNWA
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Miss Liverpool is backNasema uongo ndugu zangu?
Yaani jamaa anajilazimisha tu kuongea kiswahili.. siyo pigo zake kabisa
Ndio utajua utofauti wa maisha π
Wakati kule Chelsea wanaongea kiswahili utadhani wapo kwenye vijiwe vya alkasusu.
Boy has potential... Its takes loads of xcter to produce or shift that to the real games...Unfortunately Quansah Light switched off vs United ?? Heheh coincidence?? Unakumbuka ile pass fyongo aliitoa kwa Bruno last season, pale ndipo tulimpoteza Quansah he is not that guy again.
But Iβm still rating him high, even though Bristol roversβ fans walisema mchezaji wa kawaida (need to research kama ni kweli),
Nice angalau next games Dommy Elliott Jones Macca can compete for dakika pale kati aafu Yakuza atazamwe pale back lineAlicheza game moja as CB & Inverted DM akachukua MOTM, ilikuwa Carabao Cup vs Sβton.
Ynwaβ
Sasa Bobby utajuaje kiswahili muda wote unakaa na watu wanaongea kizunguππππ€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Miss Liverpool is back
YNWA
Hahaha Miss Liverpool mbona nipo uswazi aisee huko uzunguni wapeee.Sasa Bobby utajuaje kiswahili muda wote unakaa na watu wanaongea kizunguπππ
Njoo mkoani huku Chanika, Manzese yaani mbona wiki tu ushakuwa expert.
Sema Mimi napenda sana English yako aisee
Siyo ya kuunga unga na super glue kama za wengine.
Kasitivuruge
Ni kachezaji ka kawaida π
Wewe huyo?Hahaha Miss Liverpool mbona nipo uswazi aisee huko uzunguni wapeee.
Much appreciation sunshine.
Nashukuru sana kwa shout out mwaka 2024. Tumekua pamoja sana π π π π
YNWA
Kama kweli nasimama na Slot kwenye huu mpango. Jota kwa kufunga yupo vzuri sana changamoto ni kukaa na uzima wake yani ni shinda sana.The MoNA hivi hii ni kweli au ni maneno ya mitandaoni tu?
Arne Slot ameamua kuweka kama utaratibu wa kumpa Jota dk 25 kila mechi na kwa sababu anaamini anaweza kuwa na mabao 10 katika mechi 15 na kumchezesha dk 25 pengine ndio njia pekee ya kumfanya awe fiti kwa msimu mzima.
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Mie ndio bhana kumbe nani.....Wewe huyo?
Upo uswahilini? π
Sitaki kuongea sanaππππ
Mimi nataka unifundishe kizungu angalau nifikie hata robo ya kiingereza chako.
Nitakufundisha kiswahili fasaha.
Naona hata kombe limewekwa ribbon nyekundu kuashiria litue Anfied π€£π€£