Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hua nikikumbuka wakati tunachukua ubingwa wa UCL na EPL na bado FSG wakakosa kuona fursa ya ku dominate nakosa nguvu kabisa Comrade...
Tangu 2018 usajili wa MF uliokuja Anfied wa maana ilikua ni Thiago imagine of all the players tukaletewa Thiago whose injuries are well documented tangu yupo Catalan na bado Klopp akataka kutuaminisha he was the missing link as if ni upgrade ya ever present by then GIni kumbe ilikua the other way, yaani hata yule Chief Scout pale alipata makengeza aisee... Hivyo ikija kusepa na fursa usiwaamini kabisa FSG yaani wanaweza wakafanya kituko ukachoka hoi.

YNWA
 

Pale FSG walizingua big time aisee…

They used to learn in hard ways. But i have guts they will spend somehow. Good thing Slot ni kocha na trainer mzuri ambaye akipewa potential quality player atamfanya World class…!!! Its his first season though but watch Konate, Diaz, Gakpo, Jones, Gravern wame improve technically, Trent defensively issues. He needs less amount of shekeli to repair a team.

Nipo 50/50 na FSG.

Ynwa’
 
As we aproach the end of 2024, nawashukuru LFC fans kwa kuwa sehemu muhimu katika maisha yangu. Nathamini vitu vichache vinavyonipa furaha. LFC na ninyi LFC fans make me happy so often. Asanteni sana, hopefully tutafurahi zaidi mwishoni mwa 2024/2025 season.
 
Duh with FSG to be honest they are unpredictable... Who could have known watatoa pesa ndefu kwa Allison, Vvd, Kieta, Nunez nk.. Ishu kuu kwao ni sell to buy tu, hapa ukitazama sasa tumuuze nani ndio tununue. Maana tuna wamiliki wa buy to sell.
Je tuuze Nunez?
Je tuuze Diaz?
Mtihani sana ndugu

YNWA
 
MosDef habari za siku nyingi Mkuu?
Nasoma mitandaoni naona LFC wame reject bid ya Real Madrid.

The MoNA umepata habari mpya kuhusu Trent Leo na LFC ishu yake ya mkataba?
 

We pray to have those good moments this year too

Happy New Year 2025…

Ynwa’
 

Nashawishika kuona kuna incoming walau mmoja au wawili Jan, halafu coming summer kuna watakaouzwa,

Nunez
Tsimi
Endo

Sioni kama watakuwepo 2025/2026,

Ynwa’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…