Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The match maker himself Mr Analysis nakuona upo na Saint the one n only one... atakurusha roho weeeee mpaka.....Hehehe
Sasa kwenye ubinamu si ndio penyewe haswaaaa, wanasema nyama ya nini vilee,,
Finally feelings have revealed…!!!
Captain Marvelous. Done deal.
Ynwa’
Hua nikikumbuka wakati tunachukua ubingwa wa UCL na EPL na bado FSG wakakosa kuona fursa ya ku dominate nakosa nguvu kabisa Comrade...Hii window ataondolewa aisee sio akiendelea kubaki, lkn vipi kwa pancha za Gomez & Konate na Slot hajahakikishiwa good new comer?? Itategemea na WT itasemaje. Quansah anahitaji more games na hiyo atapata huko Championship. EPL ngumu especially duru la pili tunaloelekea we need men, worriors.
Ynwa
🤣🤣🤣🤣🤣Ni nini wewe mrembo wa Kyela jamani.Nilitaka nishangae
Hujajichanganya uchat kiingereza
Dah! Wali ban account yangu ya Mondela 😭😭, ila nipo hapa. Ila asante sana kwa kutukumbuka.Merry Christmas
Don Clericuzio
Mondela
MosDef
Na wengine wote mliopotea jamani
Pungeni mkono tujue tupo pamoja na tuvuke pamoja .
The match maker himself Mr Analysis nakuona upo na Saint the one n only one... atakurusha roho weeeee mpaka.....
YNWA
Hua nikikumbuka wakati tunachukua ubingwa wa UCL na EPL na bado FSG wakakosa kuona fursa ya ku dominate nakosa nguvu kabisa Comrade...
Tangu 2018 usajili wa MF uliokuja Anfied wa maana ilikua ni Thiago imagine of all the players tukaletewa Thiago whose injuries are well documented tangu yupo Catalan na bado Klopp akataka kutuaminisha he was the missing link as if ni upgrade ya ever present by then GIni kumbe ilikua the other way, yaani hata yule Chief Scout pale alipata makengeza aisee... Hivyo ikija kusepa na fursa usiwaamini kabisa FSG yaani wanaweza wakafanya kituko ukachoka hoi.
YNWA
Dah! Wali ban account yangu ya Mondela [emoji24][emoji24], ila nipo hapa. Ila asante sana kwa kutukumbuka.
Kumbe ni wewe!Dah! Wali ban account yangu ya Mondela 😭😭, ila nipo hapa. Ila asante sana kwa kutukumbuka.
Duh with FSG to be honest they are unpredictable... Who could have known watatoa pesa ndefu kwa Allison, Vvd, Kieta, Nunez nk.. Ishu kuu kwao ni sell to buy tu, hapa ukitazama sasa tumuuze nani ndio tununue. Maana tuna wamiliki wa buy to sell.Pale FSG walizingua big time aisee…
They used to learn in hard ways. But i have guts they will spend somehow. Good thing Slot ni kocha na trainer mzuri ambaye akipewa potential quality player atamfanya World class…!!! Its his first season though but watch Konate, Diaz, Gakpo, Jones, Gravern wame improve technically, Trent defensively issues. He needs less amount of shekeli to repair a team.
Nipo 50/50 na FSG.
Ynwa’
MosDef habari za siku nyingi Mkuu?Pale FSG walizingua big time aisee…
They used to learn in hard ways. But i have guts they will spend somehow. Good thing Slot ni kocha na trainer mzuri ambaye akipewa potential quality player atamfanya World class…!!! Its his first season though but watch Konate, Diaz, Gakpo, Jones, Gravern wame improve technically, Trent defensively issues. He needs less amount of shekeli to repair a team.
Nipo 50/50 na FSG.
Ynwa’
Aondoke haraka sanaRelax, ataongeza mkataba, and probably kama ataondoka, basi pengo lake ni dogo sana hata kwa tope linazibwa…!!! Mfumo and his postion ni rahisi.
Ywna
As we aproach the end of 2024, nawashukuru LFC fans kwa kuwa sehemu muhimu katika maisha yangu. Nathamini vitu vichache vinavyonipa furaha. LFC na ninyi LFC fans make me happy so often. Asanteni sana, hopefully tutafurahi zaidi mwishoni mwa 2024/2025 season.
Duh with FSG to be honest they are unpredictable... Who could have known watatoa pesa ndefu kwa Allison, Vvd, Kieta, Nunez nk.. Ishu kuu kwao ni sell to buy tu, hapa ukitazama sasa tumuuze nani ndio tununue. Maana tuna wamiliki wa buy to sell.
Je tuuze Nunez?
Je tuuze Diaz?
Mtihani sana ndugu
YNWA