MosDef π
NImesoma mara nyingi ulichoandika, kuna namna hili sakata la TAA FSG wanataka kulifanya kama alivyofanyiwa Zubimendi sio?
Kaka, you know me, ingekuwa ni mchezaji mwingine, ningekuwa nina mengi sana ya ku-share, lakini my hands are tied kwa Trent.
Naombea tu, change of HEART i-take its shape, na naamini katika hilo.
Lets see how it will play out kaka.
Zubi had a change of heart, in the end he just decided to stay at Sociedad, but kulikuwa na persuasion ya kutosha from his club.
Kwenye football, si unajua ile rule namba moja ya Transfer? bidding club ikifanya mawasiliano ya kuonesha intention ya kufanya biashara na club ya mchezaji wanayemtaka, it means mchezaji na his camp, wameruhusu na kubariki hicho kitu.
But, huwa inakuwa ni hatua za mwanzo sana kwenye deals, haimaanishi kuwa a deal has been struck, kuna a lot of twists & turns, Trent & his camp wakipata wanachotaka at the club, atabaki, akikosa, ataondoka.
Kuruhusu Madrid kuja mezani kwa LFC, ni ku-keep their OPTIONS open.