Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

MosDef 🙌
NImesoma mara nyingi ulichoandika, kuna namna hili sakata la TAA FSG wanataka kulifanya kama alivyofanyiwa Zubimendi sio?
 
MosDef 🙌
NImesoma mara nyingi ulichoandika, kuna namna hili sakata la TAA FSG wanataka kulifanya kama alivyofanyiwa Zubimendi sio?
Kaka, you know me, ingekuwa ni mchezaji mwingine, ningekuwa nina mengi sana ya ku-share, lakini my hands are tied kwa Trent.

Naombea tu, change of HEART i-take its shape, na naamini katika hilo.

Lets see how it will play out kaka.

Zubi had a change of heart, in the end he just decided to stay at Sociedad, but kulikuwa na persuasion ya kutosha from his club.

Kwenye football, si unajua ile rule namba moja ya Transfer? bidding club ikifanya mawasiliano ya kuonesha intention ya kufanya biashara na club ya mchezaji wanayemtaka, it means mchezaji na his camp, wameruhusu na kubariki hicho kitu.

But, huwa inakuwa ni hatua za mwanzo sana kwenye deals, haimaanishi kuwa a deal has been struck, kuna a lot of twists & turns, Trent & his camp wakipata wanachotaka at the club, atabaki, akikosa, ataondoka.

Kuruhusu Madrid kuja mezani kwa LFC, ni ku-keep their OPTIONS open.
 
Then, tukipata a new RB, akianza msimu vibaya, uanze kusema hafai na ni waste of money kama ilivyokuwa kwa Gakpo & Ryan?
TRENT....??? Good luck if he want to leaves,will be like all others waliowahi kuondoka.

VVD & SALAH are not bigger than the Club, But they're the HEART of the Club right now, Hawa ndio tunawahitaji at least kwa 2 au 3 years.
 
3-4 goals minmum.

Hakuna team ya kuisumbua LFC pale, hizo gimmicks za kuwa game yetu dhidi ya Utd huwa haitabiriki, hazina maana yeyote kwa Utd hii ya sasa.
Vidonda vya united last seazon bado havijapona vizuri, sio game yakuichukulia poa, hao na Everton
 
Vidonda vya united last seazon bado havijapona vizuri, sio game yakuichukulia poa, hao na Everton
Everton at Goodson Park, i agree.

But, hii Utd, Amorim bado ana-struggle nayo, itakuwa ni big suprise kama tusipotoka na ushindi mzuri.
 
TRENT....??? Good luck if he want to leaves,will be like all others waliowahi kuondoka.

VVD & SALAH are not bigger than the Club, But they're the HEART of the Club right now, Hawa ndio tunawahitaji at least kwa 2 au 3 years.
How are Salah & Virgil, heart of the club, but NOT Trent or Alisson?

You think Bradley can offer you anachokupa Trent kwenye title race?

Kelleher alijitahidi, but in the end, wote tukaona hatoshi kwenye title race, ndiyo maana ya kuwa na kina Alisson, kwenye team.

Trent? unaongea as if, hajakupa titles.

Halafu hii mentality ya kuona ni sawa tu kwa our world class players kuondoka at the club, siyo nzuri, we are not everton or some other small club.
 

Mkuu

SG tried to jump ship TWICE.

Na hiyo mara ya pili ali-put in a TRANSFER REQUEST, ili ku-force a move to CHELESEA.

Suala la kumtumia SG kama kipimo cha loyalty ili kum-bash Trent ni uongo.

Hakuna Loyalty kwenye football, if you wont pay up, wenzako wenye big ambitions watafanya.
 
IMG-20250103-WA0002.jpg
 
Diaz wants a new contract too.

His current contract runs mpaka 2027.

He will be 29 by then.

So, hawezi kufika 29, na kuanza ku-negotiate a new deal, anajua atakuwa kwenye disadvantage sababu ya age.

He's on 55k p/w now, he will be looking for more 55k or 60k+, so total of 120-130k p/w
 
Our highest earner at the Club ni Salah with close to 400k p/w (without bonuses)

Second highest earner ni VVD, with 200k+ p/w

Third ni Trent with 180k p/w

Alisson is at fourth with 150k p/w, hence nilisema hapa, kama club iki-offer a new deal kwa Alisson, it means atataka more than 200k, na kabakiza miaka miwili tu, sasa FSG watakuwa tayari kutoa 200k+ kwa Alisson? au tutamuona Alisson kuwa ni greedy ku-demand kile anachostahili? maana ukiangalia our wage-structure, Alisson yupo kwenye layer moja (wamepishana kidogo) na Nunez/Jota & Alexis.
 
MosDef salama Mkuu?
Kuna Jamaa kwenye group la WhatsApp Kaandika hivi, huyu unamsaidiaje? Maana ni greedy sana huyu
👇👇👇

Kelleher unamuona hatoshi?? It is that way kwamba kuna kipa namba moja, but alichofanya AB akiwa kitandani ndo kinatufanya leo tuwe pale juu.

So haya sijui hatoshi ni nani aliona hatoshi??

Bradley did it kwenye game zote kubwa alizohitajika kucheza including the CL game vs Madrid where he silenced a WC forward Mbappe...

We are not saying Bradley is as good as TAA, but he has the quality we need for the RB and that is all we want.

wakati TAA anacheza na kushinda ubingwa alikuwa subject of discussion if he was good enough to play as a defender, hata timu ya taifa alikuwa anakaa benchi haaminiki kucheza kama mlinzi wa kulia.
 
Casemiro is on 350k p/w at Utd
Grealish is at 300k p/w at City
Rashford is at 300k p/w at Utd
Foden is at 220k p/w at City
John Stones is at 250k p/w at City
Reece James is at 250k p/w at Chelsea
Ben Chilwell is earning close to 200k p/w at chelsea
Harry Maguire is pocketing close to 200k p/w at Utd
Mason Mount is earning 230k+ p/w at Utd
Bruno Fernandes is pocketing close to 300k p/w at Utd.
Gabriel Jesus is at 250k+ p/w at Arsenal
Kai Havertz is at 260+ p/w at Arsenal
etc

Bar, Salah, all these players pockets more wages than VVD and the rest of LFC players, but God forbid, our big players wakianza ku-demand big contracts, lazima wataanza kuonekana ni wasaliti.

Gabriel Martinelli, pockets 180k p/w at Arsenal, but Diaz who is at 55k p/w akiomba mkataba mpya, lazima aanzishishwe zengwe kwenye medias.
 
Back
Top Bottom