MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Football fans are so naive.MosDef salama Mkuu?
Kuna Jamaa kwenye group la WhatsApp Kaandika hivi, huyu unamsaidiaje? Maana ni greedy sana huyu
πππ
Kelleher unamuona hatoshi?? It is that way kwamba kuna kipa namba moja, but alichofanya AB akiwa kitandani ndo kinatufanya leo tuwe pale juu.
So haya sijui hatoshi ni nani aliona hatoshi??
Bradley did it kwenye game zote kubwa alizohitajika kucheza including the CL game vs Madrid where he silenced a WC forward Mbappe...
We are not saying Bradley is as good as TAA, but he has the quality we need for the RB and that is all we want.
wakati TAA anacheza na kushinda ubingwa alikuwa subject of discussion if he was good enough to play as a defender, hata timu ya taifa alikuwa anakaa benchi haaminiki kucheza kama mlinzi wa kulia.
PL ni marathon ya 38 games, unahitaji perfect players kwenda all the way.
Maana ya backup, ni ku-cover pale panapohitajika, ndiyo maana kuna first teamers na squad players.
Connor Bradley anakutosha vipi kwenye title race? akipata nafasi anajitoa, yes, na ndiyo maana ya kuwa na good backup, but atakupa consistent performances msimu wote (38 games) kwenye league? tumwambie Slot, amuweke Trent bench, aanze na Bradley mpaka May, then tuone team as a whole itakuwa imefika wapi.
Unapokuwa kwenye title races, pressure ya ku-deliver huwa inapanda each game, ndiyo maana kunatakiwa kusiwe na room ya makosa, Kelleher anaweza kukabili pressure ya ku-deliver katikati ya title race? huyo jamaa anaelewa maana ya kuwa kwenye title race? unahitaji your big players kuwa at it kwa asilimia 100%
Now, Gomez & Konate are both out, so tuache VVD acheze na Quansah mpaka May kwasababu tu Quansah alikuwa na good outings last season? Quansah anaweza kuku-offer anachoku-offer Konate?
Bradley silenced Mbappe? so Bradley hatakiwi kuwa na good game against the likes of Mpabbe? back in 2020/21 Nat & Rhys Williams played a MAJOR role kuturudisha kwenye Champions league, kwahyo Klopp alitakiwa kuwafanya starters baada ya hapo? (msimu uliofatia?) what are we talking about here? unahitaji kuwa na backups na backups zinatakiwa ku-step up pia, because they are getting paid na ni part kubwa ya squad.
I think, Watanzania, tunachukulia mpira kama kitu chepesi sana, few months ago hapa, tulikuwa tuna-discuss kilichofanya mambo yaende mrama miezi ya mwisho msimu uliopita, na kikubwa kikawa ni injuries pamoja na ufinyu wa squad numbers, na youngsters wengi, ikiwemo Bradley & Kelleher wali-play part kubwa sana kutubeba, but these youngsters can only take you SO FAR, utahitaji big players kukuvusha na kukufikisha unapoenda.
Diaz/Gakpo/Grav/Szobo/Alexis etc are having a very good season, but bado unatakiwa usali kila siku Salah awe kwenye perfect shape, same to VVD, maana utavukaje bila hawa? Alisson akiumia for 2-4 weeks, unasema siyo mbaya because Kelleher yupo na ana uwezo wa ku-cover vizuri, but useme Kelleher akae golini msimu mzima? bado, same kwa Bradley. na sisemi kuwa hawastahili, but quality & ceiling matters.
Karius was just a young decent keeper, wakati tunamchukua kutoka bundesliga alikuwa ametoka kuwa na top, top season, & kabla ya zile blunders zake kwenye final dhidi ya Madrid, he played an important role kutufikisha fainali, but was he good enough? alikuwa anatosha kuwa GK namba MOJA at LFC? bila ya zile blunders za Madrid, Karius angekuwepo LFC, tungekuwa wapi now? wqs Ramsdale a bad signing for Arsenal? NO, but Arteta figured kuwa he needed another package ya kum-push over the LINE.
nilim-quote MONA, hapo kuwa mpira una CLASSES, na huwezi kukwepa hizo CLASSES.