Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

MosDef salama Mkuu?
Kuna Jamaa kwenye group la WhatsApp Kaandika hivi, huyu unamsaidiaje? Maana ni greedy sana huyu
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Kelleher unamuona hatoshi?? It is that way kwamba kuna kipa namba moja, but alichofanya AB akiwa kitandani ndo kinatufanya leo tuwe pale juu.

So haya sijui hatoshi ni nani aliona hatoshi??

Bradley did it kwenye game zote kubwa alizohitajika kucheza including the CL game vs Madrid where he silenced a WC forward Mbappe...

We are not saying Bradley is as good as TAA, but he has the quality we need for the RB and that is all we want.

wakati TAA anacheza na kushinda ubingwa alikuwa subject of discussion if he was good enough to play as a defender, hata timu ya taifa alikuwa anakaa benchi haaminiki kucheza kama mlinzi wa kulia.
Football fans are so naive.

PL ni marathon ya 38 games, unahitaji perfect players kwenda all the way.

Maana ya backup, ni ku-cover pale panapohitajika, ndiyo maana kuna first teamers na squad players.

Connor Bradley anakutosha vipi kwenye title race? akipata nafasi anajitoa, yes, na ndiyo maana ya kuwa na good backup, but atakupa consistent performances msimu wote (38 games) kwenye league? tumwambie Slot, amuweke Trent bench, aanze na Bradley mpaka May, then tuone team as a whole itakuwa imefika wapi.

Unapokuwa kwenye title races, pressure ya ku-deliver huwa inapanda each game, ndiyo maana kunatakiwa kusiwe na room ya makosa, Kelleher anaweza kukabili pressure ya ku-deliver katikati ya title race? huyo jamaa anaelewa maana ya kuwa kwenye title race? unahitaji your big players kuwa at it kwa asilimia 100%

Now, Gomez & Konate are both out, so tuache VVD acheze na Quansah mpaka May kwasababu tu Quansah alikuwa na good outings last season? Quansah anaweza kuku-offer anachoku-offer Konate?

Bradley silenced Mbappe? so Bradley hatakiwi kuwa na good game against the likes of Mpabbe? back in 2020/21 Nat & Rhys Williams played a MAJOR role kuturudisha kwenye Champions league, kwahyo Klopp alitakiwa kuwafanya starters baada ya hapo? (msimu uliofatia?) what are we talking about here? unahitaji kuwa na backups na backups zinatakiwa ku-step up pia, because they are getting paid na ni part kubwa ya squad.

I think, Watanzania, tunachukulia mpira kama kitu chepesi sana, few months ago hapa, tulikuwa tuna-discuss kilichofanya mambo yaende mrama miezi ya mwisho msimu uliopita, na kikubwa kikawa ni injuries pamoja na ufinyu wa squad numbers, na youngsters wengi, ikiwemo Bradley & Kelleher wali-play part kubwa sana kutubeba, but these youngsters can only take you SO FAR, utahitaji big players kukuvusha na kukufikisha unapoenda.

Diaz/Gakpo/Grav/Szobo/Alexis etc are having a very good season, but bado unatakiwa usali kila siku Salah awe kwenye perfect shape, same to VVD, maana utavukaje bila hawa? Alisson akiumia for 2-4 weeks, unasema siyo mbaya because Kelleher yupo na ana uwezo wa ku-cover vizuri, but useme Kelleher akae golini msimu mzima? bado, same kwa Bradley. na sisemi kuwa hawastahili, but quality & ceiling matters.

Karius was just a young decent keeper, wakati tunamchukua kutoka bundesliga alikuwa ametoka kuwa na top, top season, & kabla ya zile blunders zake kwenye final dhidi ya Madrid, he played an important role kutufikisha fainali, but was he good enough? alikuwa anatosha kuwa GK namba MOJA at LFC? bila ya zile blunders za Madrid, Karius angekuwepo LFC, tungekuwa wapi now? wqs Ramsdale a bad signing for Arsenal? NO, but Arteta figured kuwa he needed another package ya kum-push over the LINE.

nilim-quote MONA, hapo kuwa mpira una CLASSES, na huwezi kukwepa hizo CLASSES.
 
IMG-20250103-WA0058.jpg
IMG-20250103-WA0060.jpg
 
Mkuu MosDef

Hivi ishu ya salary at LFC huwa ni sera au ni makubaliano kati ya pande mbili?
(Kambi ya mchezaji na Management ya LFC)

Wage(s) structure ni POLICY.

At LFC, FSG wana limit ya Wage-structure yao, kwamba hawawezi kwenda above a certain amount, but kadri mpira unavyokuwa na mahitaji yake ya kibiashara, FSG wanajikuta katika ombwe la kubadilisha stance yao mara kwa mara, financial part ya football ya 2010's ni tofauti na ya 2020s, so ni lazima ukimbizane na mabadiliko if you want to remain at the top.

Club, inapokuwa inataka kumsajili mchezaji, huwa inakuwa obligated kupeleka proposal yake ya mshahara kulingana na uwiano/status ya mchezaji husika, na inakuwa ni kazi ya negotiators wa club kum-convince mchezaji why wanadhani kiasi cha mshahara wanacho-offer kinamfaa kwa wakati huo, LFC tuna wage-limit yetu, na ndiyo maana mara nyingi sana huwa hatushiriki kwenye bidding wars, mfano, unakuta LFC tunamuhitaji GAKPO, na Utd pia wanamuhitaji GAKPO, club husika inakuwa imesha-issue price ya kuweza kumpata, maybe ni ยฃ40m, na wote unakuta tuna uwezo wa kulipa hiyo, sasa unakuta kwenye wages, Utd wame-offer lets say 150k p/w (with bonuses), halafu sisi offer yetu ni 90-100k (with bonuses), hapa sasa utatakiwa kumueleza mchezaji ni kitu gani utamu-offer cha maana zaidi ukiachana na mshahara, project yako ikoje, na atanufaika vipi na hiyo project long-term, umuhimu wake kwenye kikosi, na chance ya kubeba trophies, wakati wa Klopp, ikifikia hatua hii alikuwa anapiga simu direct kwa players na ku-sell his project & ideas kwa players, na mara nyingi ilikuwa ilikuwa ina-pay off (Virgil, Alisson, Fabinho, Salah, Konate, Wijnaldum, Mane, Keita etc), na ili-fail pia sometimes kwa kina Draxler, Gotze, Caicedo etc, tulikuwa tunatumia ile Klopp presence ku-rule out players, ambayo nadhani soon tutaanza kuitumia pia kwa Slot.

But, mchezaji akishakuja, na kucheza, kuwa star, mfano kina Salah/Virgil etc, kwenye ku-renew mikataba, wenyewe ndiyo wanakuwa na POWER zaidi ya Club, sasa inakuwa ni up to the club, kukubaliana na hiyo HALI, ndiyo maana last time, We had to BREAK our wage-structure kumpa Salah more than 350k+.

Kitu ambacho watu hatuelewi kwenye football, ni kuwa, its more than activities za kwenye pitch, mfano mdogo ni Salah, ukiachana na kile anachokupa uwanjani, he's a SUPERSTAR, ni moja kati ya TOP THREE most valuable & famous product kwenye PL, ukiachana na LFC, Premier League inategemea kuuza na kuongeza territories around the globe kupitia his face/presence, na kwa LFC anaingizia pesa nyingi sana kwenye merchs & other physical financial activities, people wanaingia jiji la Liverpool & then Anfield, kumshuhudia tu Salah, iwe kwenye games au kwaajili ya tourism, so mchezaji kama huyu huwezi kum-lowball akiwa anataka new contract, kwasababu atataka umlipe kile ambacho anadhani anastahili kulingana na mapato/revenues ambazo club inapata kupitia his name, Salah anaweza asiwe na shida na basic wage yenyewe, but mkapishana kwenye image rights.

Na hii inaenda kwa Trent pia, Trent aliyeingia kwenye first 11 7-8 years ago, siyo huyu wa sasa, he's a SUPER-STAR, most influential Right Back in the game right now, almost kila RB kijana anaekuwa anataka ku-imitate his game, players all around the globe wanatamani kuchezi with him or against him, Diaz wakati anakuja LFC aliulizwa, akasema anataka kucheza na Trent, same kwa Gakpo, same kwa Nunez, same kwa Szobo, every young CB now wants to be VVD, the most complete young CB in the game right now, Saliba, role model wake ni VVD, konate came at LFC kwasababu ya VVD, a lot of young CBs wants to be VVD, huyu huwezi kukaa nae chini kwenye mkataba na ukataka kum-lowball, wakati anajua his worth na kile anachokileta on the table.

Trent kabakiza miezi sita kuwa a free agent, so anaruhusiwa ku-negotiate na other clubs, same kwa Salah & VVD, so kwa mantiki hiyo hapa mchezaji anakuwa anawinda a big package ya Signing on fee, so now Madrid wanakuwa on the phone na Trent's agent tu, ambapo wanakuwa wana-negotiate ile signing on fee, na rumours ni kuwa Madrid are offering si chini ya ยฃ50m (TZS 150bn+) hiyo inaenda straight kwenye mfuko wa Trent & his brother (agent), thats a generational wealth, so kabla hatujaanza kulaumu hawa players kuwa na hard-time ya kufanya maamuzi magumu, tujiulize tu sisi wenyewe binafsi, tungeweza?

Trent's issue is far from over, Madrid are still there, but again, lets hope it will all play out well, in the end.
 
Salah's earlier today.

Again, he's putting pressure kwa owners.

If you think FSG arent responsible for this mess, then you're more than Blind.

This is not how you treat your World Class players, especially mchezaji anayekupa numbers za kutosha kila msimu.

View attachment 3191874
tulimsifu sana Edwards na kuona klop alitembelea nyota yake!
well, huu mzigo wa vvd, trent, na salah inaonesha yeye ndio tatizo!

hii club sijui lini ita-behave as a big club, ujinga kila wakati
 
Salah's earlier today.

Again, he's putting pressure kwa owners.

If you think FSG arent responsible for this mess, then you're more than Blind.

This is not how you treat your World Class players, especially mchezaji anayekupa numbers za kutosha kila msimu.

View attachment 3191874
Respect kwa Mo Salah the last Pharaoh.
Anachojua ni kupambana uwanjani na kujitetea akipata nafasi kwa media.
His numbers this season are insane, his numbers demands the contract to be signed, hive him 2 more years give 450k per week and cap the endorsement deals to his contract after all his off the field merchandise speak volumes.

YNWA
 
So far ni Liverpool pekee anaweza kufikisha points 100...

Arsenal na Forest wanaweza fikia 94 kama watashinda zote. Including watakayokutana...so constructively mmoja atapoteza points 3 au wote wapoteze 2...so wanaweza ishia points 92 au 91...

City hawezi kufika point 90 hata akishinda game zote., atafanikiwa kufikisha 88...kimahesabu ubingwa ameukosa maana inahitaji Liverpool apoteze points 18 huku yeye akishinda zote.

Kwa hali ilivyo ili Arsenal na Chelsea waendelee kumfukuza Liverpool kwa ubingwa wasidondoshe points kwenye michezo yao huku wakiombe Liver apoteze walau mechi 3...

Liverpool anahitaji kushinda game zake 16 katika 20 alizobakiza zikiwemo za Arsenal na Chelsea ili awe na uhakika wa ubingwa...afikishe points 93 tu anatangazwa binga bila kujali matokeo ya Arsenal, Chlelsea na Forest

Fingers crossed
 
๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Liverpool offer Trent Alexander-Arnold โ‚ฌ93M IN FIVE YEARS as contract to convince him to renew, reports Mirror! ๐Ÿ’ฐ๐Ÿ’ธ
 
Nyie kuku broiler leo mnapasuk ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃa

Manchester united timu bora duniani

Ubwa nyie

Kuku broiler 1- 3 mashetan
 
Back
Top Bottom