Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

MO SALAH HAS GIVEN LIVERPOOL THE LEAD !! Liverpool 2-1 Man Utd (Salah)
1736103645370.gif


1736103594398.gif
 
Trent imekua common sasa
Upande wa Trent yupo Salah na Jones/Macca ambao muda mwingi ni forward thinking dudes so wapinzani wanachukua hio advantage na kwa kua Trent sio defence pro amezidiwa kiasi pasi akaanza kupoteza hovyo mpaka kocha akaona mgonjwa aliepona Bradley aingie kuokoa jahazi..
Konate leo gemu imekuja too fast.

YNWA
 
Kalewa huyo
🤣🤣🤓🤓Haswa si bure au kaangalie mechi nyingine sio hii ya leo.

Slot bado hajapata mbinu za kupenyeza low block teams, tumeona leo, vs Newcastle, vs Fulham, vs Nottingham...
Kama hana jibu ndani ya kikosi soko lipo wazi sasa asisubiri sanaa EPL haitaki margin of error.

YNWA
 
HE IS NOT WORTH 300k PER WEEK..........Haiwezekani 80 min hata kufanya Tackle moja hawezi.View attachment 3193544
Hahaha maskin Trent mdogo bila shaka kambi yake ishawaambia Real Madrid anachokitaka.
Mshahara atakaopewa Real Madrid ni zaidi ya 350k kwa wiki kama Alaba hivyo dogo sijui Liverpool wanampa ofa ipi atulie maana mwenyewe kashayumbushwa mpaka sasa, hana furaha especially kama leo kwa kua ishu ya future yake ipo hewani sana kazi kwake na washauri wake aamue mapema.

YNWA
 
Win lose Draw
Ni matokeo kwenye football, hivi mmeshawahi kujiuliza

Kwanini Slot hapati matokeo kwa waalim wanaotoka Ureno,ambapo tulifungwa Anfield Nuno Esprito Santo? na Mwingine akaja kutoa sare 2-2 na Fulham, Na leo Amorim na Man U ametukazia, but kuna small details ukizifuatilia utagundua kwenye mbinu hawa waalim wa kireno ni mabingwa wa kujilinda na wanapoingia kwenye michezo mikubwa wamekua wanafanikiwa sana.
Mjadala uanzie hapa
TIMING
King Ngwaba
Ladder 49
Captain Marvelous
MosDef
The MoNA
Na wengineo
 
Huwezi kuchukua kombe na wachezaji akili zipo kwingine.
Hii ishu kwa kweli imekaa kimtego sana aisee... Ni kosa pia klabu ipo kimyaa hakuna neno lolote wanalosema. Tukumbuke Slot ni kocha mkuu sio meneja maanake hahusiki na ishu za mikataba kwa undani kama ilivyo kua kwa Klopp..
Wachezaji bora watatu mikataba inaisha June 2025 na wenye majukumu wa naacha wachezaji wanjisemee wanayotaka bila neno kutoka kwa Hughes, yaani inakatisha tamaa sana kwamba uongozi Liverpool umekua naive kiasi hiki kwamba ni bahati mbaya ama kusudi kuacha kwa pamoja Vvd, Salah na Trent mikataba yao ifikie hapa ilipo...
Iwe Hughes au Edward au Gordon nk hapa wamecheza kete Vimbaya sana.
Maswali yaliulizwa kwamba Klopp kutangaza anaodoka mwaka jana haitatuadhiri uwanjani, wote mnajua kilichofuata...
Muhimu wenye maamuzi wasichukulie haya mambo powa sana..

YNWA
 
Hahaha maskin Trent mdogo bila shaka kambi yake ishawaambia Real Madrid anachokitaka.
Mshahara atakaopewa Real Madrid ni zaidi ya 350k kwa wiki kama Alaba hivyo dogo sijui Liverpool wanampa ofa ipi atulie maana mwenyewe kashayumbushwa mpaka sasa, hana furaha especially kama leo kwa kua ishu ya future yake ipo hewani sana kazi kwake na washauri wake aamue mapema.

YNWA
I think it's time we let him go kabla hajai-cost zaidi team.
 
I think it's time we let him go kabla hajai-cost zaidi team.
Trent to Real Madrid ni foregone conclusion... Its a matter of when not whats if...
Tazama saga ya Alaba au Mbappe ilivyoisha na hii ya Trent inaelekea huko huko..
Kama atabaki it's would be one hell of game changer kwa Hughes maana Madrid wangekua wanazuga wasingetuma ofa January hii, hivyo kwa sasa Trent has the upper hand yaani mwili upo Anfield akili ipo Catalan...

YNWA
 
Diaz sio wa kuwekwa centre forward na kwa formation ya wing back SLOT alitakiwa aweke viungo wengi mfano hata wataru endo alitakiwa aanze pamoja na Gravenberch, MacAlister, Szobozlai
Can't agree otherwise mate... Kwa Slot utaelewa kwamba ni don't change what's working and delivering maana anaongoza ligi kwa kufuata mfumo wake anaoamini na umemp mafanikio mpaka sasa... Ishu ni kwamba wapinzani hawaji kubahatisha wanafanya homework vizur sana na leo ni mfano safi Kabisa yaani Manchester United wangetulia ushindi ulikua wao leo.
Elliot hua ana utoto mwingi sana lakin ana tackle, ana press na forward passes kuliko Jones hivyo gemu ya leo ilikua yake..

YNWA
 
Back
Top Bottom