Umedukuliwa ama umekunywa uji wa jana 🤣🤣🤣Yalikuwa wapi kukimbia hivi
Diaz ni takataka
Heri ametoka
Kama nilivyotabiri ndio imekuwa hivyo tumegawana point!Mechi ngumu sana hii kuliko unavyofikiri maiti anaweza mkamata mkono muoshaji!
Hii yote ni kudefend Trent aliyezaa second goalAllison ni takataka sana
Heri angedaka Kelleher tu
Jitu limesimama wima kama mwanajeshi
Linajitingisha tu kidogo halitaki kujichosha kabisa🚮
Kalewa huyoUmedukuliwa ama umekunywa uji wa jana 🤣🤣🤣
Siku hazifanani.. Diaz leo hakua na gemu nzuri same kwa Trent...
Liverpool vs Manchester United haijawai kua rahisi...
YNWA
Trent imekua common sasaUmedukuliwa ama umekunywa uji wa jana 🤣🤣🤣
Siku hazifanani.. Diaz leo hakua na gemu nzuri same kwa Trent...
Liverpool vs Manchester United haijawai kua rahisi...
YNWA
Jota Still building his game fitness.. Boy has bones of Delhi biscuit msimu bado sana huu tupo Carabao, tupo FA, tupo UCL na EPL hivyo atapata gemu za kutosha.Hii mechi angeanza Jota tungekuwa na magoli mengi tu
Upande wa Trent yupo Salah na Jones/Macca ambao muda mwingi ni forward thinking dudes so wapinzani wanachukua hio advantage na kwa kua Trent sio defence pro amezidiwa kiasi pasi akaanza kupoteza hovyo mpaka kocha akaona mgonjwa aliepona Bradley aingie kuokoa jahazi..Trent imekua common sasa
🤣🤣🤓🤓Haswa si bure au kaangalie mechi nyingine sio hii ya leo.Kalewa huyo
Hahaha maskin Trent mdogo bila shaka kambi yake ishawaambia Real Madrid anachokitaka.HE IS NOT WORTH 300k PER WEEK..........Haiwezekani 80 min hata kufanya Tackle moja hawezi.View attachment 3193544
Hii ishu kwa kweli imekaa kimtego sana aisee... Ni kosa pia klabu ipo kimyaa hakuna neno lolote wanalosema. Tukumbuke Slot ni kocha mkuu sio meneja maanake hahusiki na ishu za mikataba kwa undani kama ilivyo kua kwa Klopp..Huwezi kuchukua kombe na wachezaji akili zipo kwingine.
I think it's time we let him go kabla hajai-cost zaidi team.Hahaha maskin Trent mdogo bila shaka kambi yake ishawaambia Real Madrid anachokitaka.
Mshahara atakaopewa Real Madrid ni zaidi ya 350k kwa wiki kama Alaba hivyo dogo sijui Liverpool wanampa ofa ipi atulie maana mwenyewe kashayumbushwa mpaka sasa, hana furaha especially kama leo kwa kua ishu ya future yake ipo hewani sana kazi kwake na washauri wake aamue mapema.
YNWA
Trent to Real Madrid ni foregone conclusion... Its a matter of when not whats if...I think it's time we let him go kabla hajai-cost zaidi team.
Can't agree otherwise mate... Kwa Slot utaelewa kwamba ni don't change what's working and delivering maana anaongoza ligi kwa kufuata mfumo wake anaoamini na umemp mafanikio mpaka sasa... Ishu ni kwamba wapinzani hawaji kubahatisha wanafanya homework vizur sana na leo ni mfano safi Kabisa yaani Manchester United wangetulia ushindi ulikua wao leo.Diaz sio wa kuwekwa centre forward na kwa formation ya wing back SLOT alitakiwa aweke viungo wengi mfano hata wataru endo alitakiwa aanze pamoja na Gravenberch, MacAlister, Szobozlai
Wewe top 4 sahau msimu huu.Nyie nao hampo serious na kazi kwa uchezaji huu huko juu tunawahesabia siku tu.