Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Bwana bwana moja ya ishu zilizomfelisha Klopp kuchukua EPL moja tu ilikua mambo kama haya yani akiamini jambo lake ni hivi basi ilikua ni hivyo hivyo, wakati mwingine muhuni ku tweak system ku punguza threat ya timu pinzani especially kama wa Manchester United leo they had nothing to lose maana hata kwenye mbio za ubingwa ha wapo.Win lose Draw
Ni matokeo kwenye football, hivi mmeshawahi kujiuliza
Kwanini Slot hapati matokeo kwa waalim wanaotoka Ureno,ambapo tulifungwa Anfield Nuno Esprito Santo? na Mwingine akaja kutoa sare 2-2 na Fulham, Na leo Amorim na Man U ametukazia, but kuna small details ukizifuatilia utagundua kwenye mbinu hawa waalim wa kireno ni mabingwa wa kujilinda na wanapoingia kwenye michezo mikubwa wamekua wanafanikiwa sana.
Mjadala uanzie hapa
TIMING
King Ngwaba
Ladder 49
Captain Marvelous
MosDef
The MoNA
Na wengineo
Tupo mzunguko wa pili tayari, tuna gemu mkononi kiporo je sio wakat sahihi kocha aanze kusaka hizo mbinu za low block zilizotupa sare mzunguko wa kwanza..
Kazi ipo...
YNWA