Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


"Timu kama City hata mpinzani awe nan when they are at the peak, they are not bottle it"

Whats that sentence? umeandika nini hapo?

Kwamba, City can go on a run? yes its true, they can go on a run, but hiyo ni how you measure point-collection metrics kwenye title race? you're out of your mind.

Secret kubwa ya kushinda TITLE RACE, ni kuchukua 3 POINTS kwa TEAMS ambazo una uwezo wa kuchukua 3 POINTS, ukiachana na hizi gimmicks/tambo zetu za kishabiki, hakuna shabiki mwenye right mind, iwe wa LFC, Arsenal, City, Utd, Chelsea & Spurs (traditional top 6), anaenda kwenye hizi games akiwa na uhakika wa 3 points, the best you can do katika hizi fixtures ni KUTOKUPOTEZA games, kwasababu ni big fixtures, so chochote kinaweza kutokea.

LFC, wakati tunapoteza titles kwa 1 point margins na City, zilizokuwa zinatuua na draws against dross-teams kama Leicester & Burnley etc, kwasababu hizi ni teams ambazo unatakiwa uzifunge, kulingana na gap ya ubora wako na wao, na kwa kile mnachokipigania kwa wakati huo, Kwasababu hizi dross-teams ndiyo zinakusaidia ku-accumulate/adjust point-collection numbers ya zile ambazo ume-drop/utadrop against the big six.

Mfano, Man city results against the big 6 last season ilikuwa ni mbaya kuliko Arsenal.

Loss & a draw Vs Arsenal
2 draws Vs LFC
2 wins Vs Utd
2 draws Vs Chelsea
Draw & a Win Vs Spurs

Meaning Arsenal had an advantage against City, because walikuwa wame-collect 4 points kwenye fixture yao, and City, just 1 point, but City, akaja kubeba kombe mbele ya Arsenal? WHY? because City made sure anashinda games zote ambazo anatakiwa KUSHINDA, ili kufidia hiyo gap hapo, kwahyo kauli yako ya kuwa City akiwa anataka title anampiga mtu yeyote yule, ni kauli ambayo haina mashiko, na ilikuwa inahitaji research ndogo tu, ili kujua kushinda title ni suala la MAHESABU tu.

Msimu huu, tumepoteza game moja tu, but kama tuki-draw against Forest & Brentford (back to back), achana na Arsenal, City will be back kwenye picture, na they can win the league if they go on a run, despite ya wao kupoteza games nyingi kuliko sisi, and the funny thing, kwa Arsenal bado tuna advantage, simpy because they have failed to beat Brighton this season, (2 draws), draw yao ya juzi bado inafanya tu-afford a draw against Forest, but we will need a win against Brentford, kwa kifupi ni kuwa we can afford 1 win kwenye our next 2 games, tukishinda zote, itakuwa ni BIG BONUS, but we cant afford to lose, a draw and a win, itafanya tuwe safe, Arsenal wangekuwa wameshinda at Amex, pressure ingekuwa huge, then sitegemei wala siendi na matokeo at The City Ground, Forest wapo kwenye top form, wapo nyumbani, na ni tough stadium, a win or a draw will be perfect and enough.
 

Konate & Szobo are covering for Trent, because of how Slot is using him.

Ishu ya Trent kukaba/defend his territory kama a traditional right-back, haipo tangu 2019.

We need to blame, Klopp kwa kum-mold into an attacking right-back?

its not like anaamua mwenyewe kuwa, now natakiwa niwe kwenye attacking pockets, ni instructions, na kila kocha anamtumia kulingana na anacho-offer.

Szobo was covering for Trent msimu uliopita, mpaka watu wakaanza kusema hakuna kitu Szobo ana-offer going forward, amekuja Slot, anawatumia Szobo & Trent the same, but amerahisisha mnyumbuliko wao.

Robertson is nearing 32 years mkuu, he's been playing for us kwenye demanding level for nearing 7-8 years, ilikuwa lazima ubora wake ufike mwisho, miguu imechoka, siyo kosa lake kuwa, Kocha ana-prefer kumchezesha yeye zaidi, siyo kosa lake kuwa FSG & Edwards hawakuona umuhimu wa kutafuta a new LB despite na dalili za kushuka kiwango kwa Robertson plus age tangu msimu uliopita.

Then, kati ya Trent, Robertson, VVD, Konate, Gomez, Tsimikas etc, Robertson has been our worst defender this season, na hii ni ukiangalia tu makosa yake yaliyo-lead to goals/chances.

Trent had a bad game against Utd, thats it, his 1v1/territory defending vime-improve a LOT under slot, (look at his stats), but the way he's get used ni lazima apewe cover, maana siyo kuwa tunacheza peke yetu uwanjani, kuna opponents, na siyo kila move itacome-off au kufanikiwa.
 
Isak ship has sailed

Hatuna hela ya kumnunua huyo mkuu.

I can see Arsenal, Chelsea & Utd, wakijaribu this summer.

But, kama newcastle wakipata top four, he wont go anywhere.
Asante Mkuu
Vipi ishu ya Trent
kinachomkwamisha kusaini ni kiwango cha pesa?? Au ni homa ya kucheza Madrid?? Maana haijulikani anataka nini? Hiki ndo kinachokera watu. Tangu kapewa offer ya 300k per week kwa miaka 5 mbona hatujasikia kaamua nini??
 
Isak ship has sailed

Hatuna hela ya kumnunua huyo mkuu.

I can see Arsenal, Chelsea & Utd, wakijaribu this summer.

But, kama newcastle wakipata top four, he wont go anywhere.
We missed the bus kizembe sana
 
He is overrated
Uncle wachezaji wa kiingereza wao wamejiweka as exceptional. Ndio maana ni rahisi sana Lfc kumuachia Salah lakini inaweza kuwa ngumu kumuachia Trent. Na ndio maana zilipoibuka taarifa za Salah kutokutaka kuongeza mkataba wengi walisupport aondoke wakiongozwa na Carragher, reason behind they are more selfish na wanasupport sana vya kwao kwanza
 
Asante Mkuu
Vipi ishu ya Trent
kinachomkwamisha kusaini ni kiwango cha pesa?? Au ni homa ya kucheza Madrid?? Maana haijulikani anataka nini? Hiki ndo kinachokera watu. Tangu kapewa offer ya 300k per week kwa miaka 5 mbona hatujasikia kaamua nini??

Manyanza.

Hakuna offer ya 300k p/w ambayo Trent amepewa na Club, hizi ni propaganda za FSG/club.

Anachokitaka Trent kipo mezani since last season na Club/FSG wanakijua, ni suala la ku-match or get close to it, period.

Same to Salah, same to VVD, same to Konate.

Ukitoa emotions, hakuna chochote kinachokera, zaidi ya nyie kuamua kukaa upande wa Club/FSG, ni rule/sub-regurations kwa mfumo wa maoni/policy zilizotolewa na instruments zinazosimamia masuala ya football duniani, kuwa ni vyema club ku-engage na mchezaji, kwa mazungumzo ya mkataba wake mpya 2 years kabla ya ule wa awali kuisha, Trent signed a 4 years deal back in 2021, 2023 as a club tulitakiwa tuanze mazungumzo ya awali na camp yake, suala la kuanza ku-negotiate mkataba mpya 2 years kabla ya ule wa awali kuisha ni kwasababu ya kuepusha mchezaji kutogeuzwa kichwa na club zingine na pia kumpa certainity mchezaji husika, sasa huwezi tegemea Madrid/other clubs wasije mezani wakati wanaona mchezaji kabakiza miezi 6 na bado mazungumzo ya new contract hayaeleweki, lazima watumie hiyo nafasi kupenyeza interest yao/zao, na watafanya kwa mbinu zote chafu kwa maana wanajua angekuwa kwenye mkataba wasingempata kirahisi, so hii ni golden chance.

Manyanza, tukiweka ukweli mbele, Salah na Trent, nani ana-handle ishu ya contract vibaya? Trent ambaye kakaa kimya? au Salah ambaye anazunguka kwenye medias kulilia mkataba? anachofanya Salah si ndiyo tulikuwa tunampondea Henderson wakati ule?. Juzi Salah kapost ile picha twitter (Yeye, Trent, VVD), wote hawa dunia inajua wana ishu ya contract na LFC? Salah anataka ku-prove kipi hapa? huoni kuwa anaonesha dunia how incomptent FSG are? mbona hamumsemi? mimi NAMUELEWA Salah, tena sana, because i've never liked the way FSG wana-run hii club, LAKINI kama ningeamua kuchangua upande wa FSG kuhusu hii ishu ya Salah, ningekuwa na valid points pia, but suala ni kwamba, tutaendelea hivi mpaka lini as a Club?

Na swali langu la kila siku ni kuwa, as a big & reputable club ambayo tunasema inaendeshwa vizuri, unaachaje wachezaji wako wote wakubwa WATATU wanaingia kwa pamoja kwenye final year ya mikataba yao? achilia mbali miezi 6 now?

Konate was supposed to sign an extension 3 months ago, mpaka sasa ni kimya tena.
 
We missed the bus kizembe sana
I guess ni tradition, or what..

Game ya Isak, haiko mbali sana Nunez (style of play), especially wakati yupo Benfica.

Isak game has evolved, wakati Nunez ameenda backward SANA.

Kuna slight chance, Isak asinge-hit the ground running at LFC, history has proven in recent times kuwa we're not a tailor made club for STs kama Isak, chance ya Cunha Or Duran kufanikiwa at LFC ni kubwa sana kuliko Isak, though he has everything unachohitaji kutoka kwa a flat-bully ST.
 

Captain.

Unakumbuka ule msimu, tulikuwa top of the league at Xmas, then tukapata injury crisis ya CBs (VVD, Gomez & Matip wote wakapata injuries), FSG wakaishia kumpa Klopp Ozan Kabak and yule Davies from the championship, kile kipindi ndiyo ilitakiwa LFC fans wajue wana owners wa namna gani, maana the TITLE was on the LINE, FSG wakaona kina Kabak watatuvusha, yaani Kabak & Davies were good enough to cover for VVD and kina Matip, na mwisho wa siku waliokuja ku-save our season ni kina Nat Phillips.
 

This is not true.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Days goes really fast brother.
I actually forgot akina Kabak walahi hatuna wamiliki hapa tuna vituko wachumia matumbo yao.
Twice hawa mabwana chini ya Klopp wameshindwa kuona hii ni fursa ya kuchukua ubingwa wanakomaa na wage control my foot...
Aje Musk japo nae bempari lakin hua hakumbali kushindwa kuliko hawa clueless dudes from America..
Kwa utajiri wa Musk Liverpool ingefika mbali sanaa.

YNWA
 
ISAK ?????? If you're talking about a proper NO.9, ......This lad is Electric, Anakupa kila kitu Everything, The pace, The Intelligence, The ability to finish from anywhere. In a Liverpool shirt [emoji16][emoji16][emoji16].
Game ya Isak, haiko mbali sana Nunez (style of play), especially wakati yupo Benfica.

Isak game has evolved, wakati Nunez ameenda backward SANA.

Kuna slight chance, Isak asinge-hit the ground running at LFC, history has proven in recent times kuwa we're not a tailor made club for STs kama Isak, chance ya Cunha Or Duran kufanikiwa at LFC ni kubwa sana kuliko Isak, though he has everything unachohitaji kutoka kwa a flat-bully ST.
 
KITAMBO SANA, NA WATU WAKASIFIA , SIJUI WALIPOTELEA WAPI HAWA WACHEZAJI KOBAK NA DAVIES😂
 
Hii ni football kila mtu ana simamia kile anachoamini, Na kila mtu ana kipimo chake cha kupima Mchezaji mzuri /mbaya its football.

Think about the sheer volume of chances this team creates- Isak leading the line, with that kind of service - It would be UNSTOPPABLE!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…