MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Ipo hivi ndugu
Ikiwa imetokea zimebaki mechi 5 then tumemuacha mpinzani wetu 2points
Halafu kati ya hizo mechi tano kuna mechi ya united mbovu at Anfield na kuna Everton, we will bottle the tittle man
Ila zikitokea hivo and hatupo kwenye position ya kuchukua ubingwa, tunawanyuka hata 5.
Tushukuru tuu gem ya utd imekuja early
Timu kama City hata mpinzani awe nani when they are at the peak, they are not bottle it
Hayo mambo yapo Liverpool na Arsenal tuu.
"Timu kama City hata mpinzani awe nan when they are at the peak, they are not bottle it"
Whats that sentence? umeandika nini hapo?
Kwamba, City can go on a run? yes its true, they can go on a run, but hiyo ni how you measure point-collection metrics kwenye title race? you're out of your mind.
Secret kubwa ya kushinda TITLE RACE, ni kuchukua 3 POINTS kwa TEAMS ambazo una uwezo wa kuchukua 3 POINTS, ukiachana na hizi gimmicks/tambo zetu za kishabiki, hakuna shabiki mwenye right mind, iwe wa LFC, Arsenal, City, Utd, Chelsea & Spurs (traditional top 6), anaenda kwenye hizi games akiwa na uhakika wa 3 points, the best you can do katika hizi fixtures ni KUTOKUPOTEZA games, kwasababu ni big fixtures, so chochote kinaweza kutokea.
LFC, wakati tunapoteza titles kwa 1 point margins na City, zilizokuwa zinatuua na draws against dross-teams kama Leicester & Burnley etc, kwasababu hizi ni teams ambazo unatakiwa uzifunge, kulingana na gap ya ubora wako na wao, na kwa kile mnachokipigania kwa wakati huo, Kwasababu hizi dross-teams ndiyo zinakusaidia ku-accumulate/adjust point-collection numbers ya zile ambazo ume-drop/utadrop against the big six.
Mfano, Man city results against the big 6 last season ilikuwa ni mbaya kuliko Arsenal.
Loss & a draw Vs Arsenal
2 draws Vs LFC
2 wins Vs Utd
2 draws Vs Chelsea
Draw & a Win Vs Spurs
Meaning Arsenal had an advantage against City, because walikuwa wame-collect 4 points kwenye fixture yao, and City, just 1 point, but City, akaja kubeba kombe mbele ya Arsenal? WHY? because City made sure anashinda games zote ambazo anatakiwa KUSHINDA, ili kufidia hiyo gap hapo, kwahyo kauli yako ya kuwa City akiwa anataka title anampiga mtu yeyote yule, ni kauli ambayo haina mashiko, na ilikuwa inahitaji research ndogo tu, ili kujua kushinda title ni suala la MAHESABU tu.
Msimu huu, tumepoteza game moja tu, but kama tuki-draw against Forest & Brentford (back to back), achana na Arsenal, City will be back kwenye picture, na they can win the league if they go on a run, despite ya wao kupoteza games nyingi kuliko sisi, and the funny thing, kwa Arsenal bado tuna advantage, simpy because they have failed to beat Brighton this season, (2 draws), draw yao ya juzi bado inafanya tu-afford a draw against Forest, but we will need a win against Brentford, kwa kifupi ni kuwa we can afford 1 win kwenye our next 2 games, tukishinda zote, itakuwa ni BIG BONUS, but we cant afford to lose, a draw and a win, itafanya tuwe safe, Arsenal wangekuwa wameshinda at Amex, pressure ingekuwa huge, then sitegemei wala siendi na matokeo at The City Ground, Forest wapo kwenye top form, wapo nyumbani, na ni tough stadium, a win or a draw will be perfect and enough.