Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mmh tangu kaanza kazi hata mwaka hana huyu hio likizo ya wapi 😂😂wakati anahitajika kama lead negotiater wa klabu awe kazin muda huu soko lipo wazi....
Yaani dirisha mbili nzima 2024 kuanzia soko la January 2024 na June 2024 tumenunua Chiesa tu na tunasema tunautaka ubingwa, FSG ni jopo la wahuni fulani fulani...

YNWA
 
Ameona mabosi hawaeleweki
 
Ameona mabosi hawaeleweki
😂😂😂😂😂Edwards kamuuza jamaa yake Hughes kutoka Bono alipofanya kazi miaka 10 na kutua Liverpool ambapo anakua rubber stamp wa FSG 🤣🤣 mbona ataisoma namba sanaaa tu.
Alishindwa Klopp the messiah akaamua enough is enough na kusepa hivyo tuwe watulivuuu tumeipenda wenyewe...

YNWA
 
This means mfumo wetu umeshindwa kumu-accomodate Nunez kwa vile Salah ndiye main goal-scorer wetu, hivi ni kama vile Salah ndiye amezungukwa na wote.
Kwa hivi kama Slot au yeyote ataamua kujenga timu kwa Nunez, anaweza akawa monster kama alivyo Isak, au Haaland(haijalishi amestuck kwa muda)
 
pep huyo sokon na vurugu zake,,,, kuku kishingo mlijisahau sana, tukutane mei !

Injuries
Fatigue havitawaacha salama, mna wamiliki vichwa ngumu ,,, !
 
Hawa Accrington Stanley ni wa wapi hawa? Usikute ni wafanyakazi wa kiwanda cha ile kampuni kutengeneza tape measure, nyundo na vifaa vingine vya ujenzi.
Beauty of UK soccer pyramid.
Mara ya mwisho hawa Accrington tumekutana mwaka 1956🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️
Wamoo

YNWA
 
Beauty of UK soccer pyramid.
Mara ya mwisho hawa Accrington tumekutana mwaka 1956🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️
Wamoo

YNWA

Hawa kwanza utakuta hata hawawazi ushindi bali jinsi wanaona kama ni ndoto kukanyaga nyasi za Anfield na hawaamini macho yao.

Watu kutwa wanatengeneza vifaa vya ujenzi halafu weekend wanaitana wale wasio na majukumu mengi mengine kwenda kucheza na Liverpool. Kabla ya mechi washacheza sana Rock, Paper, Scissors kujua nani atachukua jezi ya Salah mwisho wa mechi.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ukute kocha ndio meneja wa kiwanda 😎😎 ama namna gani...
John Doolan kocha wa Accrington ni home boy kabisa akifanya kazi Academy ya Liverpool, leo amekutana na mwanafunzi wake Trent Anord.

YNWA
 
Poor writing use one language
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…