Yaani watoto Wa Arsenal, Manchester United huwa wanakuja kuchafua hali ya hewa sehemu ya wastaarabu. Hao ni kuwa ignore tuHatutaki wavuta bangi humu.
Lovely moment of Trent embracing the Accrington Stanley manager today.🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ukute kocha ndio meneja wa kiwanda 😎😎 ama namna gani...
John Doolan kocha wa Accrington ni home boy kabisa akifanya kazi Academy ya Liverpool, leo amekutana na mwanafunzi wake Trent Anord.
YNWA
Rent boy unafanya nini huku?Poor writing use one language
Madogo mnakuwaga na ujinga ujinga mwingi sana aiseePoor writing use one language
Fowler kaamua kuamka na Nunez
Kuna code hapo.
In ideal world huko Ureno nk that is possible kujenga team around Nunez strength lakini ukiwa EPL ni ngumu sana maana hakuna muda wa majaribio ni mchakamchaka Kusaka ushindi...This means mfumo wetu umeshindwa kumu-accomodate Nunez kwa vile Salah ndiye main goal-scorer wetu, hivi ni kama vile Salah ndiye amezungukwa na wote.
Kwa hivi kama Slot au yeyote ataamua kujenga timu kwa Nunez, anaweza akawa monster kama alivyo Isak, au Haaland(haijalishi amestuck kwa muda)
Tumeanza kuwa na bahati kama ya Man City
Ila captain, swala na Nunez Klopp aliambiwa kabisa ila akaamua kuwa mbishi kama kawaida yake akaenda kumwaga hela kwa Nunez na maneno teleIn ideal world huko Ureno nk that is possible kujenga team around Nunez strength lakini ukiwa EPL ni ngumu sana maana hakuna muda wa majaribio ni mchakamchaka Kusaka ushindi...
Mfumo wa Klopp uling'aa Sanaa kutumia false 9 Liverpool too bad Bobby wasn't getting any younger hivyo Klopp akaona atuletee new idea CS Nunez Probably ikiwa kabon kopi ya Lewandoski alivyomtumia Klopp pale Dortmond. But due to Liverpool identity of not having to play lone 9 ambayo Nunez alitumia sana Benfica na kwa mafanikio haikua rahisi na haijawai kua rahisi, matokeo yake tua mchezaji asiefiti mfumo vyema Anfield...
Kuhusu Salah kubakia kua focal point kwa sasa ni sawa kabisa maana ana deliver week in week out that speak volume.
YNWA
Kwa staili yetu ya uchezaji ilifaa atue kwa Martinez pale Inter Milan au Neres i guess kwa sasa Napoli au Adayemi Dortmond.Ila captain, swala na Nunez Klopp aliambiwa kabisa ila akaamua kuwa mbishi kama kawaida yake akaenda kumwaga hela kwa Nunez na maneno tele
Same scenario wakati Rogers anamtaka Benteke naye aliambiwa akabisha