Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ukute kocha ndio meneja wa kiwanda 😎😎 ama namna gani...
John Doolan kocha wa Accrington ni home boy kabisa akifanya kazi Academy ya Liverpool, leo amekutana na mwanafunzi wake Trent Anord.

YNWA
Lovely moment of Trent embracing the Accrington Stanley manager today.

He coached him as a 6-7 year old and wasn't sure Trent remembered him, Trent would go out of his way to find him after the game & told him he did remember
 
IMG_0090.jpeg
 
This means mfumo wetu umeshindwa kumu-accomodate Nunez kwa vile Salah ndiye main goal-scorer wetu, hivi ni kama vile Salah ndiye amezungukwa na wote.
Kwa hivi kama Slot au yeyote ataamua kujenga timu kwa Nunez, anaweza akawa monster kama alivyo Isak, au Haaland(haijalishi amestuck kwa muda)
In ideal world huko Ureno nk that is possible kujenga team around Nunez strength lakini ukiwa EPL ni ngumu sana maana hakuna muda wa majaribio ni mchakamchaka Kusaka ushindi...
Mfumo wa Klopp uling'aa Sanaa kutumia false 9 Liverpool too bad Bobby wasn't getting any younger hivyo Klopp akaona atuletee new idea CS Nunez Probably ikiwa kabon kopi ya Lewandoski alivyomtumia Klopp pale Dortmond. But due to Liverpool identity of not having to play lone 9 ambayo Nunez alitumia sana Benfica na kwa mafanikio haikua rahisi na haijawai kua rahisi, matokeo yake tua mchezaji asiefiti mfumo vyema Anfield...
Kuhusu Salah kubakia kua focal point kwa sasa ni sawa kabisa maana ana deliver week in week out that speak volume.

Ila captain, swala na Nunez Klopp aliambiwa kabisa ila akaamua kuwa mbishi kama kawaida yake akaenda kumwaga hela kwa Nunez na maneno tele

Same scenario wakati Rogers anamtaka Benteke naye aliambiwa akabisha
 
Kwa staili yetu ya uchezaji ilifaa atue kwa Martinez pale Inter Milan au Neres i guess kwa sasa Napoli au Adayemi Dortmond.
Klopp probably alitaka kubadili mfumo wote case study Mane na Firmino kuodoka na in advance akaja Jota then Nunez nwa only Klopp anajua alichokua anakitaka.
Too bad kwa Nunez he is broken kwa sasa low confidence hatumiki to his strength maana Salah is the bomb pale mbele its Salah way etc

YNWA
 
Back
Top Bottom