Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


We failed to plan our future with Nunez in the team, it happens kwenye football, siyo kitu kipya brother.

Nunez, amekuwa ni victim wa mazingira yaliyomkataa, na siyo his fault, for the past 3 seasons, hatuchezi mpira/shape our structure kwa kuzingatia his strength/ubora wake, na ni understandable, maana we cant risk him kuwa our man-man, wakati kuna Salah, ambaye namba zake ni almost incomparable.

Nunez, siyo first flop at LFC, and he wont be the last one, na yeye ku-fail ku-deliver at LFC haimaanishi kuwa ni bad football player, it just didnt work out, and thats life.

Yes, anaweza kuwa monster (100%), but not at LFC, football ni mchezo wa confidence, and huwa inachukua muda sana kuijenga confidence kwa mchezaji, na kumfanya ajihisi ni TEGEMEZI kwa team, hilo halipo kwa Nunez, he wants to leave, it means haoni future yake at LFC, na hii ni mpaka kwa his family & friends, and lets be honest, we are not planning our future with him, so hata akibaki, itakuwa ngumu sana kucheza na saikoloji yake now, na kwenye mpira, wataalam wa upande wa saikoloji, huwa wanashauri maxmum 2 years ya adjustment period kwa players/coaches, baada ya hapo kama aki-fail ku-settle, it means anakuwa ameshindwa kujingenga mentally kulingana na occassion, na pia club (especially kwa player) inakuwa imeshindwa kumjenga/shape his mental & environmental state.

Kwa Darwin, i blame the Club, if we wanted kutoka nje ya ombwe la Firmino, tulikuwa tunahitaji kubadilisha our whole set-up, pamoja na kuminmize umuhimu wa Salah, kitu ambacho kilikuwa ni impossible, so the least tungefanya ni kutafuta profile kama ya Bobby, au inayoshabihiana naye, maana huwezi kupata exact profile kama ya Bobby, so tafuta inayoshabihiana nayo & mold it.

He wants to leave, and i wish him nothing but success popote atakapoenda, he's 24, bado ana time kubwa sana.
 

Kuhusu January TW, nasubiria mpaka litakapokaribia kufungwa, kwasasa its too early, kuanza kujudge our movements kwenye market.

People around the club, are just concerned na Hughes ability kuhusu ku-close deals, alipata ukosoaji mkubwa sana kwenye ishu ya Zubimendi, but deeply, Edwards ndiye wa kulaumiwa, that was Hughes first big gig, hakutakiwa kwenda Spain, alone, he thought he had closed the deal, after first meeting (player & the club), then him & Edwards leaking ile habari kwa kina Joyce & Ornstein, kabla ya Spanish medias kujua kinachoendelea, ilikuwa ni big mistake, because Socieadad supporters walipata utambuzi wa kinachoendelea kupitia medias za UK, na outrage ilikuwa huge, Zubimendi kwa Socieadad ni kama sisi na Trent, tumeshuhudia Trent akikua at LFC tangu akiwa mtoto, so as fans tuna ile dhana ya kuwa tunamu-OWN, ni same na kwa Zubimendi, so Zubimendi curved in, and decided to stay, maybe him & his camp & the club had another way ya ku-introduce aina ya jinsi ya yeye atavyoondoka (gradually) kwa fans, but we ruined the plan, kwa ku-leak our agreement news with him kwenye English medias, ambayo ilikuwa ni move ya kitoto sana, as hakukuwa na competition kubwa yeyote ya his signature.

And, the fact kuwa Hughes decided to flew back to UK baada ya first meeting tu, ilikuwa ni bad move, sijui kama bado alikuwa anahisi yupo Bournemouth na ana-negotiate na players from lower leagues or championships, that was Zubimendi, ambaye inajulikana ni jinsi gani file lake lilivyo gumu, he had rejected Barca, Bayern & Arsenal appraoches kabla yetu, so its not like alikuwa eagar kucheza at LFC, alikuwa anahitaji kuwa convinced, ipo hivyo kwa kila top class football player.

We are active hii january TW, hence ni muhimu kusubiria kama tuta-act, but we are active.
 

LFC supporters bado wana ile mentality ya kuwa FSG saved us, they didnt save us from shit, back then ilikuwa ni business opportunity kwao, at Β£300m, hakuna mfanyabiashara asingefikiria kuweka pesa yake, ndiyo maana interested parties zilikuwa nyingi sana, Sheikh Mansoor alivyotukosa kwasababu ya politics, akaamua kuwekeza Man City.

FSG, saw a perfect business opportunity na kuamua kui-grab, kutoka kununua club for Β£300m, mpaka now kuwa valued at Β£5b, ni opportunity ambayo hawawezi kujutia in their life-time, na tunaongelea kuhusu brand ya "Liverpool FC", one of the biggest brand/product in the world, so they knew faida watajayopata wakinunua LFC, na ndiyo maana they had to grap chance ya kununua a debt-riden club (kipindi kile) bila hata kusita, because walikuwa wanajua faida yake in the long-run.

So, kama FSG wasingenunua hii Club, other people wangenunua, so suala la kuwa they saved us, ni ujinga.

Msimu huu, tunawez tukashinda PL title, but next season utakuta tunagombania Top 4/5, na sababu ni kutokuwa na sustainable development na uwekezaji mdogo kwenye team, sometimes unajiuliza Man City wangekuwa kwenye top form yao ya kila msimu tungekuwa tunaongoza league? then unajiuliza why tunaona City kuwa ni kipimo cha mafanikio kwenye PL titles? why tunaona tunaongoza league kwasababu City ni mbovu? why tunaona kama ni bahati? then unaangalia kikosi chako, unaona Summer tumemsajili Chiesa tu, na tukaanza msimu a 31 year-old Japanesse DM ambaye alikuwa ni stop-gap tu, the coach had to put an 8 at 6, tukaanza msimu na 3 senior CBs ambao wawili ni injury prones, etc, hapo unaona kweli we punching above our weight, but ni sawa? club ambayo ipo valued at Β£5bn, bado inastruggle kutafuta a fabinho replacament? when was the last time tumenunua a defender?

Unakumbuka, tumeshinda CL, tukanunua kina Harvey, VDB and Adrian, tuliolalamika tukaonekana "washenzi" kwasababu Club wakati huo ilikuwa kwenye "stable" condition, na tulionekana washenzi zaidi, tulivyoshinda PL title msimu uliofatia, but matokeo ya kutowekeza vizuri baada ya our CL win, yalionekana 2 years later, na mpaka kupelekea tukacheze Europa league, hii yote ni kwasababu hatuzingatii sustainable development, tunaridhika na occassions, kama vile ni small club.

Now, tunafanya vizuri, so hakuna mtu atakuelewa ukiongelea kuhusu good additions kwenye squad, au suala la KUBAKIZA world class kwenye team (mtu anakwambia Bradley is better than Trent), but 1-2 years from now, Slot akiwa ana-struggle ku-shape team kwasababu ya uwekezaji/planning mbovu kwenye squad, ndiye atakayekuwa anatukanwa, na FSG hawatoguswa hata kidogo.
 
Khavicha is ready made for Liverpool any day of the week. Ishu kuu boy has his heart at Real Madrid big time one day so itakua ngumu sana.

YNWA
He's well & set for PSG.

Think we asked for his wages, na watakuwa walitutumia offer ya wage-package ya PSG, sidhani hata kama tulirudisha email, hahaha.
 
Robbie Fowler ni LFC legend, but LFC was his comfort zone, hana career yeyote outside of LFC

He flopped at Man City and he flopped at Leeds.

Achana na club alizopita baada ya his prime, huko kote hakuwa na impact yeyote.

Yeye mwenyewe ni mfano pekee kuwa majani cant always be greener on the other side, na sometimes things haziwezi ku-work out kama unavyodhani, ingekuwa hivyo yeye mwenyewe angekuwa na good career out of LFC, but hana na hakuwa nayo.

so, instead ya ku-throw jabs at the kid, mpe ushauri, au muache aondoke LFC. Owen went to Utd, but huwezi kuona ana-bash LFC players kwenye medias, na hii siyo mara ya kwanza kwa Fowler,
 
LFC fan punguzeni Big Expectations kwa vitu ambavyo haviwezekaniki ,Nunez hana traits zozote za kuwa Monster at LFC ,Hivi mkisema Nunez amefeli LFC kuna shida gani ?? Its just football, Kwa mentality kama hizi basi tutakaa na wachezaji wabovu kwa muda mrefu sana.
 
Traits za ST kuwa monster at LFC ni zipi mkuu?
 
Zubimendi to Arsenal.

Richard Hughes anatakiwa kukaa mbali sana na mitandao leo.

Abuses anazopata now, ni balaa.

I wont abuse him or his family, but Zubimendi going to Arsenal siyo good look kwake.

Hope he's well.
Ni kweli huyu Richard Hughes yupo likizo?
 
Zubimendi to Arsenal.

Richard Hughes anatakiwa kukaa mbali sana na mitandao leo.

Abuses anazopata now, ni balaa.

I wont abuse him or his family, but Zubimendi going to Arsenal siyo good look kwake.

Hope he's well.
Mkuu, kwanini Richard Hughes kwamba we need a top Director kuliko yeye.

LFC hatujawahi kuwa serious Club, No ambition.

Caicedo joined Chelsea, Tchouamen joined Real Madrid ,Jude joined Madrid and now Zubimendi Arsenal and many more failed target too.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Nyie hamuogopi kwenda msituni?????

Kuku broiler 1- 4 msitu 🀣🀣🀣
 
Its all stems from having cheap owners kama FSG.

Ambitions na u-serious wa club unatokana na aina ya owners ambao Club inayo.

Man city owners promised Pep new signings hii January, and they are delivering, so far.

With Gabriel out for a season, Arsenal lazima wataingia sokoni for a new striker.

At, LFC ni tofauti, owners cant even back the manager ambaye ana-deliver kwa kiasi kikubwa now.

FSG are cheap, so huwa wanahitaji cheap people kama wao, ili kumaintain profit margins zao.

Hughes got the job at LFC because he's friends with Edwards, i mean hiyo haiwezi kuwa sababu ya MAANA, because he was doing good at Bournemouth, but from Bournemouth to LFC ilikuwa ni BIG step, but because salary demands zake hazikuwa kubwa, FSG didnt hesitate, NOW, me sina shida na Hughes at LFC, but him kutoka Bournemouth mpaka LFC, ulimuandaa vipi? uliandaa mazingira gani kuhakikisha anaanza kazi yake vyema? maana now ishu ya Zubimendi, imefufuka na imekaa vibaya sana kwa upande, je club & edwards wangeweza kuliepuka hili? yeah, wangeweza, ni suala la kumpa msaada, siyo kumtupa kwenye politics, ili awe room ya ukosoaji, maana sahiv kila sehem ukipita, anaetukanwa na Hughes, na kama ninavyosema kila siku, FSG wana-get away with murder again.

I dont hate Hughes, and my number one rule ni ile ile, i'll give him time (personally), this window & summer transfer window, BUT on the real part, i dont think he's good enough kwa club kama LFC, because kwa level yake, he cant demand nothing from Edwards & FSG, he just receives orders, LFC needs a DOF mwenye Voice/decision maker.

and the fact kuwa, Edwards limited Slot kwenye "head coach" level, ili yeye awe na full-control, imefanya kazi ya Hughes kuwa ngumu zaidi, maana kama Slot angekuwa ni manager, wangekuwa wana-work hand kwa hand kwenye decision making.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…