MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
This means mfumo wetu umeshindwa kumu-accomodate Nunez kwa vile Salah ndiye main goal-scorer wetu, hivi ni kama vile Salah ndiye amezungukwa na wote.
Kwa hivi kama Slot au yeyote ataamua kujenga timu kwa Nunez, anaweza akawa monster kama alivyo Isak, au Haaland(haijalishi amestuck kwa muda)
We failed to plan our future with Nunez in the team, it happens kwenye football, siyo kitu kipya brother.
Nunez, amekuwa ni victim wa mazingira yaliyomkataa, na siyo his fault, for the past 3 seasons, hatuchezi mpira/shape our structure kwa kuzingatia his strength/ubora wake, na ni understandable, maana we cant risk him kuwa our man-man, wakati kuna Salah, ambaye namba zake ni almost incomparable.
Nunez, siyo first flop at LFC, and he wont be the last one, na yeye ku-fail ku-deliver at LFC haimaanishi kuwa ni bad football player, it just didnt work out, and thats life.
Yes, anaweza kuwa monster (100%), but not at LFC, football ni mchezo wa confidence, and huwa inachukua muda sana kuijenga confidence kwa mchezaji, na kumfanya ajihisi ni TEGEMEZI kwa team, hilo halipo kwa Nunez, he wants to leave, it means haoni future yake at LFC, na hii ni mpaka kwa his family & friends, and lets be honest, we are not planning our future with him, so hata akibaki, itakuwa ngumu sana kucheza na saikoloji yake now, na kwenye mpira, wataalam wa upande wa saikoloji, huwa wanashauri maxmum 2 years ya adjustment period kwa players/coaches, baada ya hapo kama aki-fail ku-settle, it means anakuwa ameshindwa kujingenga mentally kulingana na occassion, na pia club (especially kwa player) inakuwa imeshindwa kumjenga/shape his mental & environmental state.
Kwa Darwin, i blame the Club, if we wanted kutoka nje ya ombwe la Firmino, tulikuwa tunahitaji kubadilisha our whole set-up, pamoja na kuminmize umuhimu wa Salah, kitu ambacho kilikuwa ni impossible, so the least tungefanya ni kutafuta profile kama ya Bobby, au inayoshabihiana naye, maana huwezi kupata exact profile kama ya Bobby, so tafuta inayoshabihiana nayo & mold it.
He wants to leave, and i wish him nothing but success popote atakapoenda, he's 24, bado ana time kubwa sana.