Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Wages anazopewa ni ishu na anajua umri wake wa sasa ndio peak time hivyo he has to get the chums he want kama sio at Liverpool basi kwingine...We need to upgrade on Diaz.
amekuwa na msimu mzuri sana, but we need a goal-scoring LW.
Diaz is not consistent enough.
I wont let him go, but ikija good offer, i'd be happy to cash in, personally.
Hii mentality ipo tu kwa mashabiki wa Real Madrid aisee.Pia washabiki punguzeni lawama zisizo na maana kwa wachezaji
Yani kila siku mara Trent, mara VVD, mara Salah, mara Alisson why?
Kama FSG imeshindwa kuwashawishi kuwapa Offer nzuri ya kubaki si tuheshimu maamuzi yao ya kuondoka tu kwanini tuwashambulie?
Mpira ni kazi kwao hawachezi kwa hisani wacha wakatafute kibarua kwengine tuache lawama zisizo na umuhimu
Hamna kituTunarudi kwenye winning ways… kuanzia na Brentford.
Turudi hapa why LFC tumekwama kutoka mwaka upinduke?
Hatuna balance kwenye striking force. How tunamtegemea Salah akiwa kwenye bad patch individually or tactically we are done, unlike kipindi tupo hot kipindi una Bobby, Mane & Salah, ilikuwa ngumu hawa jamaa ku drop form kwa wakati mmoja.
Its up to Gakpo/Diaz/Jota ku step up ku produce good no. Consistently. Diaz uwezo anao ila most of the time he has bad decision making even worse. Kuna mahali anapaswa kufanya mambo mepesi just one dribbling then pass it, but he used to have unnecessary more touches.
Gakpo has a good on decision making, he has to put much effort ana uwezo wa kufanya zaidi.
Jota (injury & inconsistency),
Szobo anapaswa kuongeza no. Kiwango bora kabsa under lfc jersey ni vs Spurs (6-3), then B’mouth last season (3-1)
Uwezo anao wa kufanyw hivyo, last match vs NF, kuna shooting chances alikuwa anazipata ila kujaribu hajaribu. Dont know ni maelekezo ya Slot au yeye mwenyewe tu??
Konate & AB1 wapo kwenye bad patch kwa sasa, lets see their form recovery.
We are going to register our 1st EPL match of 2025….
It’s up to FSG now to back up Slot in January TW.
Ynwa’
Brentford don't pack the bus hivyo itakua open game kwetu.Aendeleze kwa Brentford
Ynwa
One for the future...
Its impressive how Forest closes the pocket aisee waaa just the beauty of proper well coached team.Wako njema forest ,uwanjani wamechangamka hawatembei.
Kocha aanze kuwaamini wakina Endo,Elliot,Chiesa Jota na Tsimikas waanze ktk first eleven coz wana fresh legs Kuna baadhi wa players washaanza kupungua ule ufanis sjui sababu wametumika sana au vipTunarudi kwenye winning ways… kuanzia na Brentford.
Turudi hapa why LFC tumekwama kutoka mwaka upinduke?
Hatuna balance kwenye striking force. How tunamtegemea Salah akiwa kwenye bad patch individually or tactically we are done, unlike kipindi tupo hot kipindi una Bobby, Mane & Salah, ilikuwa ngumu hawa jamaa ku drop form kwa wakati mmoja.
Its up to Gakpo/Diaz/Jota ku step up ku produce good no. Consistently. Diaz uwezo anao ila most of the time he has bad decision making even worse. Kuna mahali anapaswa kufanya mambo mepesi just one dribbling then pass it, but he used to have unnecessary more touches.
Gakpo has a good on decision making, he has to put much effort ana uwezo wa kufanya zaidi.
Jota (injury & inconsistency),
Szobo anapaswa kuongeza no. Kiwango bora kabsa under lfc jersey ni vs Spurs (6-3), then B’mouth last season (3-1)
Uwezo anao wa kufanyw hivyo, last match vs NF, kuna shooting chances alikuwa anazipata ila kujaribu hajaribu. Dont know ni maelekezo ya Slot au yeye mwenyewe tu??
Konate & AB1 wapo kwenye bad patch kwa sasa, lets see their form recovery.
We are going to register our 1st EPL match of 2025….
It’s up to FSG now to back up Slot in January TW.
Ynwa’
Ni ngumu sana kuelewa aisee. Manchester City wapo wanafukuzia wachezaji wanne kwa mpigo... Na FSG wapo wanatazama Gravenberch akicheza markshift defender yaaani......... hizi fursa ni adimu tunayo hapa lakin mmh wapo wanakula burger tuu na coka barid sanaa.hawa fsg sijui huwa wanawaza nini
Bro
Did I mention Trent?
Its us or Arsenal for the title this season.Kusema kweli ubingwa wa msimu huu haujawa defined clearly ni wa nani hadi sasa. Liverpool, chelsea, arsenal, city na hata Forest bado wanaweza kutwaa kombe msimu huu. Kilichowasaidia Liverpool msimu huu waliuanza vizuri sana kuliko wenzie na ndicho kinampa cushion nzuri ya kutopaniki kila wakipoteza au kutoa droo mechi zao hasa za round ya pili. Hamna form nzuri kwa sasa kama ilivyo kwa wapinzani wenu arsenal, chelsea na city. Hili hamlioni kwa sasa ila come March/April mkiwa mnapumuliwa kisogoni mtanikumbuka.