Tunarudi kwenye winning ways… kuanzia na Brentford.
Turudi hapa why LFC tumekwama kutoka mwaka upinduke?
Hatuna balance kwenye striking force. How tunamtegemea Salah akiwa kwenye bad patch individually or tactically we are done, unlike kipindi tupo hot kipindi una Bobby, Mane & Salah, ilikuwa ngumu hawa jamaa ku drop form kwa wakati mmoja.
Its up to Gakpo/Diaz/Jota ku step up ku produce good no. Consistently. Diaz uwezo anao ila most of the time he has bad decision making even worse. Kuna mahali anapaswa kufanya mambo mepesi just one dribbling then pass it, but he used to have unnecessary more touches.
Gakpo has a good on decision making, he has to put much effort ana uwezo wa kufanya zaidi.
Jota (injury & inconsistency),
Szobo anapaswa kuongeza no. Kiwango bora kabsa under lfc jersey ni vs Spurs (6-3), then B’mouth last season (3-1)
Uwezo anao wa kufanyw hivyo, last match vs NF, kuna shooting chances alikuwa anazipata ila kujaribu hajaribu. Dont know ni maelekezo ya Slot au yeye mwenyewe tu??
Konate & AB1 wapo kwenye bad patch kwa sasa, lets see their form recovery.
We are going to register our 1st EPL match of 2025….
It’s up to FSG now to back up Slot in January TW.
Ynwa’