Salah is doing Mo Salah's things.
Mpira bana kuna muda unapigwa angle zote haufurukuti, hiki ndicho kilichomkuta Kieran Mckenna. It was like a one sided game especially after 3 up lead by LFC.
Quality iliamua game ya jana, plus ile home advantage iliwaumiza Ipswich. One of the simple matches we had this season basi ya jana inaweza kuwa miongoni.
Mckenna alikuja na mpango mzuri kuzuia build up ya LFC kwa kucheza na narrow pressing pattern
(umbo la kama square hivi), ili kuzuia Gravern na Macca wasipokee mipira comfortably ili kufanya positive progress bahati mbaya kwao hawakuwa na quality ya kufanya hivyo through out 90' mins. Quality ilikuwa kubwa sana kuikabali plus upo Anfield unahitaji awareness ya kufanya upasuaji plus uwe na watu wa kuweka pressure vizuri, carry the ball very well, quality passes to break the lines ila walimiss hii quality against LFC, ikawa simple play kwa Gravern na Macca.
Baada ya kushinda hilo eneo ikawa sasa ni LFC ku set mipango yao kusaka magoli, Macca akasogea mbele Nyuma ikabaki 3-1 kwenye build up, mana yake Konate anasogea juu Vvd chini Trent katikati yao why? Ili kutumia quality ya Trent (passing) kupenetrate passes kwenye maeneo hatarishi, did it pay? Oh yeah goli la kwanza ilipivwa pasi kwa Konate akapiga kwa Szobo Boom 1st goal. Baada ya hapo Ipswich walionekana kuleta madhara kiasi, Slot akaona hata ngoja kwanza, Gravern akarudi nyuma kwenye position aliyokua anacheza, Macca nyuma kidogo position ya Gravern then Trent akasogea upande wake ila kwenye mstari wa katikati kufanya iwe 3-4-3, kwa sababu Ipswich walijaribu kufunga njia za ndani sasa ikabidi mbembeni patumike, wakati huo Robbo nae amevutika pembeni chini kuongeza idadi kwenye mstari wa pili wa LFC. Did it pay?? Yeah second goal Gakpo anapokea pasi ya pembeni anapiga cross inamkuta Salah anaweka kambani. Goodness ile Angle Salah amefunga ni kama off angle hivi. hii sio ya wengi, not easy that is what we called Class. Aliwahi kufunga pia angle ngumu after solo dance, game vs Spurs, Vs Watford, Vs City na game moja ya CL anapiga kwa right foot nimesahau. (FSG's massage).
Dominance after domance. Goli la tatu what a class pass from Gravern to Szobo, kama angefunga ilikuwa beautiful assist. Gk saved it but Gakpo was there already no other wise zaidi ya kuukwamisha.
Second half it was the same tactics hapakuwa na haja kubwa ya kubadili zaidinya ku control game with passes at the lowest tempo as much as it can ili kutunza energy.
Hiki ndicho kilichofanyika kipindi cha pili cha mchezo, ilifikia hatua ya kuboreka kwa wale tunaopenda high blood pressure matches.
Fourth goal did you see Trent's quality pass?? Mr passer huyu hatari sana mwingereza huyu linapokuja suala la pasi.
As i said, baada ya NF game tutaeudi kwenye winning ways kuanzia kwenye game ya Brentford.
Fulham
Newcastle
NF (this season)
Wamekuwa wapinzani wetu sana na kwa performance yao draw ilikuwa kuipokea kwa mikono miwili labda kidogo game ya Newcastle tulifabya blanders.
Next Bournemouth, mechi itakuwa ngumu but i have pure guts that, it will be a good game to watch tactically. LFC will win this game 90%. B'mouth hawajawa wasumbufu sana kwetu isipokuwa tukiwa kwenye hangover (injuries & fatigue).
City ananyatia mdogo mdogo. Ameanza tayari kufanya vurugu huko sokoni, huku AXA mikataba tu kipengele, napata mashaka kama Hughes ana uwezo wa kuhimili LFC model of transfer plus Fans pressure, demand ni kubwa sana hasa kwa level aliyonayo LFC kwa sasa. But... Kuna watu nyuma ya watu tunaowataja wenye nguvu zaidi yao, (Edward, Hughes,) na wengine ndio maana mambo yanakuwa magumu.
Salah, Vvd and Trent wapo huru kuzungumza na timu yoyote ile kuhusu mkataba, umejiuliza kwa nini hawafanyi hivyo?? Je wamejua watapewa mkataba mpya hivyo kambi zao hazijisumbui??
Know you can
Ynwa'