Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
They can't beat us, labda drooLeo Bournemouth wamempiga mbabe wetu Forest hivyo hii game hatutakiwi kuichukulia kwa wapesi hasa ukizingatia walimfunga Arsenal, Man City na Newcastle hivyo msimu huu wanajua kuotea game ngumu na kuachia zile nyepesi
Kapuuzi haka
Salah bhana anajua kuwakera sana FSG. Yaani kila akifunga goli huyooo anawachokonoa na jambo fulani
Only Mo has the audacity to try the shot.Salah sticking it in the far corner! Liverpool 2-0 Ipswich Town
View attachment 3213856
Ila mimi nashindwa kuwaelewa FSG kabisa. Kwanini wanakuwa reluctant ku sort hizi mambo za mikataba mapema hasa team ikiwa katika critical moments kama hivi inaongoza both CL na PL.Salah bhana anajua kuwakera sana FSG. Yaani kila akifunga goli huyooo anawachokonoa na jambo fulani
Watoe mikataba waache bla bla
YNWA
Kweli jana kuna header ali-save Allisson vvd aliiangalia ikapita kizembe kama si umahiri wa kipa ingekuwa 4-2!Hii game ya Bournemouth sina wasiwasi nayo kwakuwa ukiangalia game tunazo struggle ni zile ambazo tunacheza na team zinazocheza low block.
So naamini kama Iraola ataingia na game plan ya ku attack game itakuwa open na tunashinda japo nahisi pia tuta concede maana kuna muda defense yetu inakuwa na lapse of concentration.
Yani beki zilipoteza concentration game inaenda kuisha. Cleansheet ni muhimu sana.Kweli jana kuna header ali-save Allisson vvd aliiangalia ikapita kizembe kama si umahiri wa kipa ingekuwa 4-2!
Hii game ya Bournemouth sina wasiwasi nayo kwakuwa ukiangalia game tunazo struggle ni zile ambazo tunacheza na team zinazocheza low block.
So naamini kama Iraola ataingia na game plan ya ku attack game itakuwa open na tunashinda japo nahisi pia tuta concede maana kuna muda defense yetu inakuwa na lapse of concentration.
They can't beat us, labda droo
Yeah game sio nyepesi. Itakuwa moja ya decisive games of the season kwa jinsi Bournemouth alivyoweza kuchukua points kwa team kubwa kama tukimfunga itakuwa a statement win.Hakuna Midtable Timu inayocheza na Timu kubwa kama LiverpoolFC ikawa na plan ya kuattack.
Ndiyomana Forest na Brentford wote walicheza low block hivyo na Bournemouth naye ataenda kucheza hivyo hivyo low block.
Game si ya kubeza